Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,353
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video.

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 

Ni mwendo wa marekani tuu leo🤣🤣🤣🤣

 
Tambua kwamba Chanjo mil 1 za corona zimetokana na msaada wa Marekani
 
Safi sana hivi wale Covid 19 wa mjengoni si Bado "ni Chadema"mbona wao hawamzungumzii Mwenyekiti wao!!au ni chadema kwa ajiri ya kupiga mpunga wa bungeni tu?!!
 
Ninawiwa kusaidia.Ninafanya jambo ,Mola anipe kibali nifanye ninachokusudia kwa faida ya kizazi cha sasa na baadaye.Allah unijaaliye.
 
Ubalozi unahesabiwa ni nchi ndiyo maana Lisu alivyoingia tu mule kumtoa ikawa haiwezekani ila ili ugewe hizo privileges na wewe una sharti la kutoingilia mambo ya nchi husika.

So ubalozi wa Marekani wanachoweza fanya ni kuyapokea hayo malalamiko na kuyatuma kwa idara inayodeal na Afrika.

Hii yaweza chukua miaka.
 
Tambua kwamba Chanjo mil 1 za corona zimetokana na msaada wa Marekani
Natambua hilo...

Ni kweli....

Marafiki zetu hao....wadau wetu wa maendeleo hao....

Na kesho panapo uzima ninalipeleka BEGA LANGU kuchomwa msaada wao wa J&J......

TANZANIA IS A SOVEREIGN NATION

#KaziIendelee
#JMTMilele
#SerikaliMbiliMilele
 
Hakika 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…