Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,263
- Thread starter
-
- #61
Angeweza kununua vifaa vya kuwakinga wahudumu wa afya, akaamua kuwa mbinafsi na KujifukizaMfano msafara watu 100 x 120,000 x 45 =540,000,000 nje na mafuta, entertainment n.k, hatari sana. Najaribu kuwaza sina uhakika ni mfano.
Complete idiot, alitakiwa awe wapi?Tunaacha kujadili issues za maana tunajadili Rais hayupo ikulu?
Naona Bavicha hili lishakuwa jukwaa lao la kupunguzia jazba na stress za mwenyekiti Mbowe! Kazi kutukana watu na kuhoji mambo ya ajabu ajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani eda ni siku ngapi?Hatukumchagua ili akae nyumbani., wengine wote hawalipwi mshahara kwa kukaa nyumbani.
Wanaume hawakai eda hubbyKwani eda ni siku ngapi?
Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?
Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.
Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.
Sent using Jamii Forums mobile app
angekuwa ikulu mgefaidika nini ambacho sasa hamfaidiki nyie mamburura!Complete idiot, alitakiwa awe wapi?
huo uwanja ndio ule wa Chato? mbona unaonesha cracks hapo!?
Clueless arsehead, sasa kama hataki kukaa Ikulu Urais aliutafuta wa kazi gani?angekuwa ikulu mgefaidika nini ambacho sasa hamfaidiki nyie mamburura!
Anyways endeleeni na hiyo issue maana msipoongelea hilo Makonda atawatafutia topic nyingine.
Ikiwa mwisho October wewe nusu Mbwa nusu Mtu unapata faida gani, nawaonea huruma wazazi wako wamepoteza nguvu bure kuzaa haramuHuu uzushi wa ufipa mwisho October
Sacos ya Mbowe mjipange kuishi Bila ruzuku