Kumbukeni kuoga mkimaliza....

Kumbukeni kuoga mkimaliza....

mshana jr ameileta hii mada kimasihara lakini inaumuhimu sana.

Imefanya nijiulize kwanini kuna watu wengi wanakua na mafanikio au kukubalika sana wakiwa shule au kabla ya kuanza kujihusisha na mahusiano... Baada ya kuanza kuonjaonja wanapoteza kabisa hiyo hali. Nikakumbuka ndio maana Biblia inasema ukikutana na kahaba ukalala nae unafungwa nae inakua kama mke wako, puga picha unachukua mambo ya msururu wa watu wote waliowahi kuwa nae..

Mimi naongezea kwamba, sio tu wakumbuke kuoga, watafakari madhara yatokanayo na kujihusisha na mtu kabla ya kuamua kupiga kazi. Kuna vitu havitoki hata ukioga

Niwatakie heri ya mwaka mpya 2018
 
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
Braza angu wewe na emojis dam dam... Heri ya mwaka mpya bwana.. Ukiwa mjini usisahau nicheki please[emoji4]
 
mshana jr ameileta hii mada kimasihara lakini inaumuhimu sana.

Imefanya nijiulize kwanini kuna watu wengi wanakua na mafanikio au kukubalika sana wakiwa shule au kabla ya kuanza kujihusisha na mahusiano... Baada ya kuanza kuonjaonja wanapoteza kabisa hiyo hali. Nikakumbuka ndio maana Biblia inasema ukikutana na kahaba ukalala nae unafungwa nae inakua kama mke wako, puga picha unachukua mambo ya msururu wa watu wote waliowahi kuwa nae..

Mimi naongezea kwamba, sio tu wakumbuke kuoga, watafakari madhara yatokanayo na kujihusisha na mtu kabla ya kuamua kupiga kazi. Kuna vitu havitoki hata ukioga

Niwatakie heri ya mwaka mpya 2018
Thanks Samaritan you always have very nice replies.. Happy new year prior time
 
Braza angu wewe na emojis dam dam... Heri ya mwaka mpya bwana.. Ukiwa mjini usisahau nicheki please[emoji4]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mjini sifiki mwisho mail moja.... Naweza kuja nisirudi Msata kilingeni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitakupa maveri urudi nayo kaka... Yale hata kama umekanyaga kale kamdudu ni bullet proof tosha.
 
Missing you Mshana. ...... kweli tenaa achana na hizo emoji emoji banaa.
Miss-you-2014-quote.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitakupa maveri urudi nayo kaka... Yale hata kama umekanyaga kale kamdudu ni bullet proof tosha.
Aah ndugu yangu acha tu nyoka wenye makengeza wametanda huko
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji781] [emoji779] [emoji121] [emoji85]

Hakika 2018 ya Kasie itabamba sana si kwa mahabat haya kutoka kwa mshana hehehehhee acha niendelee kuringa kigagula mie..

Come zis wei mshana tubebishane....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom