Kumbukeni kuoga mkimaliza....

Kumbukeni kuoga mkimaliza....

Kuna baadhi mnasoma msg hii mkiwa gesti house na michepuko.... Nawakumbusha tu msisahau kuoga na kutoa mijanaba yenu si kila mtu unayengonoka naye ni binadamu wa kawaida.. Wengine ni majini, wengine ni mashetani, wengine ni wachawi.. Ukioga unapunguza risk za nuksi na kubeba yasiyobebeka[emoji12] [emoji30] [emoji15]
Ila kama umeoa kama mimi naomba usitumie kale kasabuni (eva)...
 
20e92e7f820d920ea88e63b310572040.jpg


Sawa tutaoga
Nilijua tu picha itawekwa
 
Ila kama umeoa kama mimi naomba usitumie kale kasabuni (eva)...
[emoji3] [emoji3] hivi hutu tusabuni ni kwamba they are cheap au ndio mwongozo kuwa guest house ziwepo hizo tu, nilienda Zanzibar nikahisi nitakuta aina nyingine dah! Kuingia washroom nakakuta faster ikabidi nikanunue nyingine.
 
dah kuna manzi tulifanya foreplay tu lakini kilichotokea siwezi kusahau nilikuwa natembea sina kitu mfukoni kama wiki mbili hv au zaidi....mpaka kesho sijawahi kumtafuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom