Kumbukeni kuoga mkimaliza....

Kumbukeni kuoga mkimaliza....

[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..... Yoko yako wewe
Bulaza,
Vipi tu-povu tena?
Jamaa anakushauri kama unavyotushauri wewe.
Kosa lake nini?

Aaah!
Global-worming yako na wewe.
Wote tunajua matusi bwana.
 
dah kuna manzi tulifanya foreplay tu lakini kilichotokea siwezi kusahau nilikuwa natembea sina kitu mfukoni kama wiki mbili hv au zaidi....mpaka kesho sijawahi kumtafuta.
Unachuma dhambi tu.
 
Hivi Kwenye mambo yetu yale ya tabibu za kimila hakuna Test ya kucheck gundu kabla hujagegeda? according to experience ya miongo kadhaa ya mambo ya mila na utamadun..@Mshana Jr
Kuna formula yake
 
Kuna baadhi mnasoma msg hii mkiwa gesti house na michepuko.... Nawakumbusha tu msisahau kuoga na kutoa mijanaba yenu si kila mtu unayengonoka naye ni binadamu wa kawaida.. Wengine ni majini, wengine ni mashetani, wengine ni wachawi.. Ukioga unapunguza risk za nuksi na kubeba yasiyobebeka[emoji12] [emoji30] [emoji15]
Wakumbuke kutubu pia.
 
Hiyo kweli kabisa wengine wana nuksi kama umemla ndo mwanzo wa mikosi mipango kuharibika lkn wengine ukimla mambo yanakunyookea kabisa
 
aiseeee......mshana bhanaaa......yani hata kama nlitumia mpira?

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 
Mie nimejikuta hamu imeongezeka ghaflaa. ..... ngoja nikae mkao wa hasara na kimtego mtu fudenge aduu ze nidifuli. ....

Kasie Mahaba.
 
Mie nimejikuta hamu imeongezeka ghaflaa. ..... ngoja nikae mkao wa hasara na kimtego mtu fudenge aduu ze nidifuli. ....

Kasie Mahaba.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji39] [emoji39] Kasie hebu fanya Tukutane maili moja lelo
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji39] [emoji39] Kasie hebu fanya Tukutane maili moja lelo

Mshana sijui kuna mtu humu kaniwekea uzito, yaani kila nikisema leo nipange kuja huko kitu kingine kinatokea. Waonaje tubadili tukutane mjini badala ya maili moja? Halafu na hii ashikii sijui kumbato litadumu kwa sekunde ngapi..... hehehehhe
 
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom