Kumbukeni kuoga mkimaliza....

Kumbukeni kuoga mkimaliza....

Hakika 2018 ya Kasie itabamba sana si kwa mahabat haya kutoka kwa mshana hehehehhee acha niendelee kuringa kigagula mie..

Come zis wei mshana tubebishane....
Kwa mwendo wa kuchumpa[emoji573]
 
Kwa mwendo wa kuchumpa[emoji573]

Hehehehehehehehee speed yo roketi sioo hahahahahahahhaaa nimekaa mkao wa golikipa tayari kukupokea na kukudaka utapotua kwa Kasie.

Usisahau zana hehehehee
Kasie Matata.
 
Hehehehehehehehee speed yo roketi sioo hahahahahahahhaaa nimekaa mkao wa golikipa tayari kukupokea na kukudaka utapotua kwa Kasie.

Usisahau zana hehehehee
Kasie Matata.
Nina mzio na zana za kilimo[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Nina mzio na zana za kilimo[emoji85] [emoji85] [emoji85]

Hahahahahaa basi tuingie shambani tukalime pamoja naona watu wameanza kukodoa macho yasije yakawapofuka buree tukapata mada kesi heheheheh.
 
Dunia ina kila aina ya watu, badala ya kutumia mda na familia siku kama hizi, unakuta mtu yupo na kimada/mchepuko anafurahia maisha.

Kwa kweli waoge tu, wasafishe nyeti zao vizuri wasije kuwaletea watoto wao nuksi.
Mume wangu nitamfunga[emoji12] [emoji85]
 
20e92e7f820d920ea88e63b310572040.jpg


Sawa tutaoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom