Kumbe yasemwayo kuhusu wahaya ni ukweli?

Kumbe yasemwayo kuhusu wahaya ni ukweli?

Nawapenda tukiwa kwenye mitungi 😁,mimi nakaa kimya tu,wakishalewa ni pure comedy 😂
 
Melo anawavumilia sana member wake aiseee..!! 😹😹😹

Imagine mwenye forum ni muhaya lakini inabidi atulie akaangwe bila makasiriko..!!
 
sifa za kidwanzi....mke wangu siku anaondoka kwangu mama yake ananipigia simu eti katumiwa tiketi ya ndege😂😂😂...... usiku huo huo nafanya upelelezi namkuta amelala nyegezi stendi anasubili magari ya asubuhi aelekee bukoba..hili kabila limejaa watu wajinga sana.....sasa lengo la kujikweza na hali yakuwa huna kitu ni nini?.....muda mwingine ninahitaji nikupe msaada ila kwa sababu ya tambo zako za kipumbavu naamua nikupotezee tu
 
hii sio kwa wahaya tu, niulize mimi😆
Huwa nqwashangaa watu walivyokariri wahaya.

Mimi wanaonifanyia hivyo wote ni wasukuma, kabila linalosifika na wengi wasiolijua kuwa ni la watu wenye roho nzuri, wasiopenda sifa, wasioringa wala kujisikia
 
Wengi hao na siyo sifa tu pia wana tabia za UTAPELI.kaa mbali nao.mimi nimefanya kazi pale bukoba mjini na nilikuwa naishi kibeta ni shida hawa watu.halafu ni wabaguzi sana hata wao kwao.utasikia mimi ni myangito,mara mimi ni wa kashozi nk
Kupitia misifa yao wanaingiza na utapeli
 
Katika top 3 ya mkoa masikini bukoba ipo sasa utabisha nn sema dada zenu wanajua kut***mbana ukimweka kifo cha mende anakubana na miguu yake kwa nyuma ya kiuno kama banio usitoke ni hatari ila baada ya game unatakiwa kwenda kuanika godoro
Bukoba sio mkoa bwana mdogo.
 
Back
Top Bottom