Kumbe yasemwayo kuhusu wahaya ni ukweli?

Tanzania nzima ni masikini, unadhani hata huo mkoa wa kwanza kiuchumi unadhani wana nini cha ziada kuwazidi hao wa mwisho? ,suala la ngono ni pana sana na haliko applicable kwenye huu mjadala ,

Ulifanya nao ngono wangapi hadi uhitimishe kuwa wote wako hivo? Umewalinganisha na makabila mangapi? Toka huko maporini ulipo nenda kaishi popote Kagera ufaidi uzuri wa mkoa huo,acha kujikita kwenye hizo takwimu uchwara za NBS
😂😂wenye mkoa wao hawataki kuishi huko siyo kuishi hata kujenga hawataki wote wapo DSM siumeona hata marehemu luge alivyofariki umeona kwao kulivyo nawasifu sana wachaga nenda Kilimanjaro uone mijumba ipo porini miekalu yamaana nenda kagera sasa utacheka
 
Watu wote wanaopenda ukabila wana insecurity sana , trailer linaanza nafika ofisini naulizwa : wwe ni kabila gani ? nikashangaa vip tena .
Pale shule moja ya uboyzin maarufu sana kuliko zote bukoba.

Ulikua ukikosea unaenda staff unajadiliwa kihaya 😊

Wale watu wanaubaguzi sana ndio maana zile shule wamejaa walimu wa kihaya wewe kabila lingine mbona haukai
 
Hivi akili mnazosema wanazo wahaya ni akili zipi hizo ambazo zimeshindwa kutatua changamoto za kijamii, mpaka mkoa wao unashika namba 1 kwa kuwa mkoa masikini au mimi ndiyo sielewi
Ndo mimi nawashangaa misifa mingi wanakalia kujenga DSM wanashindwa kujenga mkoa wao ndo mkoa unaoongoza kuwa na maprofesor wengi nchini ila ndo mkoa masikini Tanzania
 
Bro mijengo ipo lkn hawaishi huko.imebaki kama Magodi tu.bukoba kubwa mijengo ya hatari shida hakuna mzunguko wa pesa ni umaskini umekithiri huko.
 
Linapokuja suala la makabila na sifa au tabia zake, watanzania huwa tunadhihirisha ujinga wetu waziwazi kama alivyofanya mwandishi wa uzi huu.

Ameandika maneno matupu bila hata chembe ya mfano hai.

Wahaya ni watu poa sana, wasiopenda sifa wala kujikweza. Ni watu ambao hawana hofu ya kulogwa kama ilivyo kwa makabila mengi linapokuja suala kuelezea mafanikio yao.

Sauti zao na staili zao za uongeaji zinawafanya wengi wadhani wahaya wanajisifia kumbe wanaongea ile kawaida tu.
 
Nilikuwa nasikia watu wanasema kabila la wahaya watu wake Huwa na sifa au misifa, sikuwahi ku experience hiyo tabia Yao ila Sasa nimeshuhudia.

Aisee hawa jamaa ni hatari, wanasifa balaa, kujikweza, kujisifia, kupenda competition hasa kazini, na kujipendekeza Kwa viongozi.

Yaani mtu kutwa nzima ni kujisifu tu mara hili mara lile..... Aisee wahaya nimewavulia kofia🙌🙌
Ndiyo ukute kachanganya damu ya Mhaya na Mchaga hii cocktail siyo ya kawaida.
 
Linapokuja suala la makabila na sifa au tabia zake, watanzania huwa tunadhihirisha ujinga wetu waziwazi kama alivyofanya mwandishi wa uzi huu.

Ameandika maneno matupu bila hata chembe ya mfano hai.

Wahaya ni watu poa sana, wasiopenda sifa wala kujikweza. Ni watu ambao hawana hofu ya kulogwa kama ilivyo kwa makabila mengi linapokuja suala kuelezea mafanikio yao.

Sauti zao na staili zao za uongeaji zinawafanya wengi wadhani wahaya wanajisifia kumbe wanaongea ile kawaida tu.
Sasa kauligani gani ya uongeaji inayowatisha watu kabila 120 ww kweli mwehu
 
Linapokuja suala la makabila na sifa au tabia zake, watanzania huwa tunadhihirisha ujinga wetu waziwazi kama alivyofanya mwandishi wa uzi huu.

Ameandika maneno matupu bila hata chembe ya mfano hai.

Wahaya ni watu poa sana, wasiopenda sifa wala kujikweza. Ni watu ambao hawana hofu ya kulogwa kama ilivyo kwa makabila mengi linapokuja suala kuelezea mafanikio yao.

Sauti zao na staili zao za uongeaji zinawafanya wengi wadhani wahaya wanajisifia kumbe wanaongea ile kawaida tu.
Tunawapenda dada zenu wakiaya mnajua mapenzi
 
Hapa hunishawishi sababu nimeishi bukoba miaka ya kutosha pia binti yetu kuolewa kule kemondo ruagati.tambo walizonazo wabaya mpaka huwa zinaniboa.mhaya hawezi kuongea hata sentensi nzima bila kuweka neno la kiingereza.ai wanawake si wanaume.
 
Wengi hao na siyo sifa tu pia wana tabia za UTAPELI.kaa mbali nao.mimi nimefanya kazi pale bukoba mjini na nilikuwa naishi kibeta ni shida hawa watu.halafu ni wabaguzi sana hata wao kwao.utasikia mimi ni myangito,mara mimi ni wa kashozi nk
Mjini kutapeliwa jambo la kawaida...
 
Back
Top Bottom