Kumbe yasemwayo kuhusu wahaya ni ukweli?

Kumbe yasemwayo kuhusu wahaya ni ukweli?

Japo sio wote, wengi wao hupenda sana sifa hasa za kijinga.
Na ligi zisizo kuwa na maana. Mama mmoja kitaani anatuambia, ukinunua gari unaingia unapinda mgongo hilo ni banda ya kuku sio gari. 😊
Yule bimkubwa ana m v8, wenye vibakuli anawaona kama kuku tuu bandani.
 
Ndo walivyo maisha ya shida ya kwao bukoba ndo imechangia ila wabahili kwenye kutumia pesa balaa sifa nyingi nenda nae bar kulipa bill hawezi
Nadhani hujawahi fika au kuishi mkoa wa Kagera, aliyekwambia huko kuna maisha ya shida na ndo yanachangia hiyo tabia ni nani? Maisha ya watanzania wengi ni almost the same,watu wengi vipato vyetu ni kwa ajili ya matumizi ya kila siku,akiba ni kidogo sana
 
Nilikuwa nasikia watu wanasema kabila la wahaya watu wake Huwa na sifa au misifa, sikuwahi ku experience hiyo tabia Yao ila Sasa nimeshuhudia.

Aisee hawa jamaa ni hatari, wanasifa balaa, kujikweza, kujisifia, kupenda competition hasa kazini, na kujipendekeza Kwa viongozi.

Yaani mtu kutwa nzima ni kujisifu tu mara hili mara lile..... Aisee wahaya nimewavulia kofia🙌🙌
Wanajisifu na misifa wanayo.Au hilo hukuona?
 
Nilikuwa nasikia watu wanasema kabila la wahaya watu wake Huwa na sifa au misifa, sikuwahi ku experience hiyo tabia Yao ila Sasa nimeshuhudia.

Aisee hawa jamaa ni hatari, wanasifa balaa, kujikweza, kujisifia, kupenda competition hasa kazini, na kujipendekeza Kwa viongozi.

Yaani mtu kutwa nzima ni kujisifu tu mara hili mara lile..... Aisee wahaya nimewavulia kofia🙌🙌
Mimi nikikutana na watu wenye majivuno huwa naficha kabisa Uwezo wangu wasiuone, ikibidi wanidharau mpaka mwisho halafu nawafanyia SURPRISE baaab kubwa. Baada ya hapo huwa wanajiona dhaifu sana na wakiniona popote huwa wananywea nywiiii.

Kimsingi,Nguvu au Uwezo ni kama nguo ya ndani. Ni ya muhimu sana, lakini sio lazima kuionesha hovyo hovyo!.

1 WAKORINTHO 1
26 Maana, ndugu zangu, angalieni mwito wenu, ya kwamba si wengi wenye hekima ya mwilini, si wengi wenye nguvu, si wengi wenye cheo walioitwa;

27 bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu;

28 tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko;

29 mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.

ADABU MBELE KIBURI NYUMA!
 
Watanzania wengi sijui hii chuki dhidi ya wahaya mliambukizwa na nani? Wahaya ukishajua jinsi ya kuishi nao ni watu wazuri sana, hakuna kabila ambalo limekamilika kwa kila kitu ambacho kitamfurahisha kila mtu.
Hizo sifa na tambo zinazowakera nyie ndo mnazikuza kuliko uhalisia, wao wanazipend
a na zinawapa furaha, sasa nyie mkereke sio shida zao,na katika ujumla wake sio wahaya wote wako hivyo
 
Sio Chuki Mkuu tunaishi nap na tunawapenda
 
Nadhani hujawahi fika au kuishi mkoa wa Kagera, aliyekwambia huko kuna maisha ya shida na ndo yanachangia hiyo tabia ni nani? Maisha ya watanzania wengi ni almost the same,watu wengi vipato vyetu ni kwa ajili ya matumizi ya kila siku,akiba ni kidogo sana
Katika top 3 ya mkoa masikini bukoba ipo sasa utabisha nn sema dada zenu wanajua kut***mbana ukimweka kifo cha mende anakubana na miguu yake kwa nyuma ya kiuno kama banio usitoke ni hatari ila baada ya game unatakiwa kwenda kuanika godoro
 
Tanzania nzima ni masikini, unadhani hata huo mkoa wa kwanza kiuchumi unadhani wana nini cha ziada kuwazidi hao wa mwisho? ,suala la ngono ni pana sana na haliko applicable kwenye huu mjadala ,

Ulifanya nao ngono wangapi hadi uhitimishe kuwa wote wako hivo? Umewalinganisha na makabila mangapi? Toka huko maporini ulipo nenda kaishi popote Kagera ufaidi uzuri wa mkoa huo,acha kujikita kwenye hizo takwimu uchwara za NBS
 
Back
Top Bottom