Kumbe yale matamko ya kimataifa huwa ni mbwembwe tu

Mara ooooh Commonwealth sijui wametoa siku ngapi sijui mtu aachiwe huru. ILA HAKUNA KITU CHOCHOTE MTU KALA MVUA NNE VIZURI TU TENA MCHANA KWEUPE.
Kwa mada kama hizi, nikishasoma kichwa cha mada na mistari michache tu inatosha, kuliko kupoteza muda na uchafu mwingine uliojazwa humo.

Jibu langu kwa mada kama hii na wengine wote wenye fikra za aina ya huyu aliyeweka takataka hapa ni kuwa, hao unaowapotezea muda wakuletee mabadiliko wewe hapa wakati wewe mwenyewe na wapuuzi wa aina yako mpo, mkiendelea kustawisha waovu hawana akili za kipuuzi za aina yenu.
Hata siku moja hawakuahidi watakuletea hayo unayotegemea wewe au unayowasuta juu yake, huku ukifurahia kunyanyaswa, kama unavyoonyesha mwenyewe katika hayo niliyosoma na kuyajibu.
 
Beberu kama mlivyompa jina huwa anakuanzia ngazi ya chini sana atakuletea maandishi utayapuuza ila anakua anapiga hatua zake taratibu huku akiweka rekodi zake siku moja unajikuta kwenye kona na usijue unatokaje.

Msome huyu alivyoingia katika nyavu .

Kesi yake ni tarehe 30 mwezi huu.

Ukitaka kujuwa ujuha wa baadhi ya watu humu JF (mada hii inao wengi wa aina hiyo); angalia wanavyojiliwaza kudhani kuwa ukombozi wa Tanzania utatoka huko kwa hao wanaowaita mabeberu.

Wanajifanya hawaoni hali halisi iliyopo hapa hapa.
Wanachotegemea wao ni kwamba kwa vile mitutu ya bunduki ipo mikononi mwao, basi Tanzania wataendelea kuinyanyasa watakavyo wao.
Paraguay juzi tu, kimenuka. hawakusubiri mabeberu waje kuwafanyia kazi waliyotaka ifanyike.
hawa malimbukeni wa hapa wanafikiri wataendelea kuwafuga waTanzania kama mifugo yao daima.

Hii furaha wanayoonyesha ya kumshughulikia Tundu Lissu na CHADEMA inawapofusha kabisa, hata hawatambui kwamba hili siyo swala la Tundu Lissu au CHADEMA pekee. Hili ni swala la waTanzania wote wasiokubali kunyanyaswa.
 
Nchi nyingi tu wapinzani waliwahi kufungwa kwa uonevu ila mabadiliko ni mchakato muda wa mabadiliko Tanzania umefika na upepo unazidi kuvuma watawala haramu wamejivika miwani za mbao wasione na wameweka nta sikioni wasisikie na vichwa wakazamisha kwenye mchanga ila upepo huu hauepukiki utawavurumisha .

Historia ina namna yake ya kujirudia na kuwakumbusha watu kwa mifano halisi.
 
Mara ooooh Commonwealth sijui wametoa siku ngapi sijui mtu aachiwe huru. ILA HAKUNA KITU CHOCHOTE MTU KALA MVUA NNE VIZURI TU TENA MCHANA KWEUPE.

Mara oooooh Bunge la Ulaya sijui limeketi kujadili mwenendo wa kesi ya mchongo na limetoa tamko zito. ILA HAMNA LOLOTE MTU KACHEZEA MVUA VIZURI KABISA.

Mara oooooh sijui Amnesty International imetoa walaka mzito wa juu ya mwenendo wa demokrasia. ILA WAPI MTU KACHEZESHEWA MVUA BILA SHOBO YOYOTE

Mara sijui umoja wa Ulaya umeketi na kutoa onyo zito. MWEEE MWISHO WA SIKU MTU KALA KICHAPO CHA MVUA VIZURI TU.

Mara oooooh UN umemtuma sijui nani kuja kufuatilia mwenendo wa kesi. ILA HAKUNA LOLOTE NYUNDO NNE ZIMEPIGWA SWAFI KABISA.

Mara mabalozi wa nchi gani sijui wamejazana mahakamani kibwena wakiusoma mchezo wa kesi. ILA MWISHO WA SIKU MVUA NNE ZIMETUA MBELE YAO VIZURI KABISA.

Mara sijui oooooh watu wa haki za binadamu sijui wamesemaje nini. LAKINI WAPI WATU HAWANA HABARI WAMEZITUA NYUNDO NNE KAMA ZILIVYO BILA NINI WALA NINI.

Kumbe hawa sijui International organisations ni wadwanzi tu na miyeyusho kinoma. Watu wanafanya yao mbele yao na hakuna jipya lolote.
Subiru muda wa kunyolewa kwa koĺeo ukifika hapata kuwa na muda wa kuomba mkasi🤫
 
bila common weath na jumuia zingine lisu kesi yake bado ingekuwa kabatini

subirieni round ya pili nadhani hii ningumu zaidi mmemfunga kwakosa asilowahi kushitakiwa wala kujitetea nalo
 
Hata Mugabe aliwahi kuwaza hivyo hivyo mpaka yalipomkuta.

Kuna siku tu hayo matamko yatafanya kazi.
 
Mara ooooh Commonwealth sijui wametoa siku ngapi sijui mtu aachiwe huru. ILA HAKUNA KITU CHOCHOTE MTU KALA MVUA NNE VIZURI TU TENA MCHANA KWEUPE.

Mara oooooh Bunge la Ulaya sijui limeketi kujadili mwenendo wa kesi ya mchongo na limetoa tamko zito. ILA HAMNA LOLOTE MTU KACHEZEA MVUA VIZURI KABISA.

Mara oooooh sijui Amnesty International imetoa walaka mzito wa juu ya mwenendo wa demokrasia. ILA WAPI MTU KACHEZESHEWA MVUA BILA SHOBO YOYOTE

Mara sijui umoja wa Ulaya umeketi na kutoa onyo zito. MWEEE MWISHO WA SIKU MTU KALA KICHAPO CHA MVUA VIZURI TU.

Mara oooooh UN umemtuma sijui nani kuja kufuatilia mwenendo wa kesi. ILA HAKUNA LOLOTE NYUNDO NNE ZIMEPIGWA SWAFI KABISA.

Mara mabalozi wa nchi gani sijui wamejazana mahakamani kibwena wakiusoma mchezo wa kesi. ILA MWISHO WA SIKU MVUA NNE ZIMETUA MBELE YAO VIZURI KABISA.

Mara sijui oooooh watu wa haki za binadamu sijui wamesemaje nini. LAKINI WAPI WATU HAWANA HABARI WAMEZITUA NYUNDO NNE KAMA ZILIVYO BILA NINI WALA NINI.

Kumbe hawa sijui International organisations ni wadwanzi tu na miyeyusho kinoma. Watu wanafanya yao mbele yao na hakuna jipya lolote.
CCM mwenye akili alikuwa nyerere peke yake
 
Ila mmejaa kiburi sana. Mnaua watanzania wenzetu kisa matamko ya Nje hayana impact.
 
Serikali ya dk samia huwa haipangiwi mambo pia wakumbuke tz ni taifa huru lisilofungamana na upande!!
Unakumbuka kilichomkuta nicolaus maduro (alichofanywa na marekani) na alikuwa raisi wa venezuela basi endelea kuamini ilo. Na sasa hivi yuko gerezani
 
Mara ooooh Commonwealth sijui wametoa siku ngapi sijui mtu aachiwe huru. ILA HAKUNA KITU CHOCHOTE MTU KALA MVUA NNE VIZURI TU TENA MCHANA KWEUPE.

Mara oooooh Bunge la Ulaya sijui limeketi kujadili mwenendo wa kesi ya mchongo na limetoa tamko zito. ILA HAMNA LOLOTE MTU KACHEZEA MVUA VIZURI KABISA.

Mara oooooh sijui Amnesty International imetoa walaka mzito wa juu ya mwenendo wa demokrasia. ILA WAPI MTU KACHEZESHEWA MVUA BILA SHOBO YOYOTE

Mara sijui umoja wa Ulaya umeketi na kutoa onyo zito. MWEEE MWISHO WA SIKU MTU KALA KICHAPO CHA MVUA VIZURI TU.

Mara oooooh UN umemtuma sijui nani kuja kufuatilia mwenendo wa kesi. ILA HAKUNA LOLOTE NYUNDO NNE ZIMEPIGWA SWAFI KABISA.

Mara mabalozi wa nchi gani sijui wamejazana mahakamani kibwena wakiusoma mchezo wa kesi. ILA MWISHO WA SIKU MVUA NNE ZIMETUA MBELE YAO VIZURI KABISA.

Mara sijui oooooh watu wa haki za binadamu sijui wamesemaje nini. LAKINI WAPI WATU HAWANA HABARI WAMEZITUA NYUNDO NNE KAMA ZILIVYO BILA NINI WALA NINI.

Kumbe hawa sijui International organisations ni wadwanzi tu na miyeyusho kinoma. Watu wanafanya yao mbele yao na hakuna jipya lolote.
Vilio vinasikika
 
Unafikiri jumuiya za kimataifazinafanya kazi kama vikoba? Wewe jidanganye
 
Back
Top Bottom