GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,335
- 4,330
Mara ooooh Commonwealth sijui wametoa siku ngapi sijui mtu aachiwe huru. ILA HAKUNA KITU CHOCHOTE MTU KALA MVUA NNE VIZURI TU TENA MCHANA KWEUPE.
Mara oooooh Bunge la Ulaya sijui limeketi kujadili mwenendo wa kesi ya mchongo na limetoa tamko zito. ILA HAMNA LOLOTE MTU KACHEZEA MVUA VIZURI KABISA.
Mara oooooh sijui Amnesty International imetoa walaka mzito wa juu ya mwenendo wa demokrasia. ILA WAPI MTU KACHEZESHEWA MVUA BILA SHOBO YOYOTE
Mara sijui umoja wa Ulaya umeketi na kutoa onyo zito. MWEEE MWISHO WA SIKU MTU KALA KICHAPO CHA MVUA VIZURI TU.
Mara oooooh UN umemtuma sijui nani kuja kufuatilia mwenendo wa kesi. ILA HAKUNA LOLOTE NYUNDO NNE ZIMEPIGWA SWAFI KABISA.
Mara mabalozi wa nchi gani sijui wamejazana mahakamani kibwena wakiusoma mchezo wa kesi. ILA MWISHO WA SIKU MVUA NNE ZIMETUA MBELE YAO VIZURI KABISA.
Mara sijui oooooh watu wa haki za binadamu sijui wamesemaje nini. LAKINI WAPI WATU HAWANA HABARI WAMEZITUA NYUNDO NNE KAMA ZILIVYO BILA NINI WALA NINI.
Kumbe hawa sijui International organisations ni wadwanzi tu na miyeyusho kinoma. Watu wanafanya yao mbele yao na hakuna jipya lolote.