Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,692
- 23,269
Mhuu. Kweli dunia inatutia hururi
aiseee ila wadada wanahangaika na mavipodozi expensive tu buresurgery ni nima wakuu huyo atakwenda kama michael jackson kifo chao ni kimoja hapo akibeba mimba atazaa pakashume
Watu wana roho mbaya! ukute yeye alimtumia "baby wake" kisha ikaenda from phone to phone hadi kujikuta kwenye mitandao ya jamii. Sijui kama yeye mwenyewe angewezakuiweka public maana hata it is not to her advantage!
but picha ya hivi kwenye public, naona kama si maadili
Mwe! Manka ndio nani tena?![]()
Miguu kama ya Manka halafu hiyo michirizi ya mapajani!!!!
Ana mapepo huyu mtoto anahitaji maombi tena mazito. Aliye karibu naye amsaidie ampeleke kwa watumishi wa Mungu wamsaidie.Huyu anahitaji mshauri..hajitambui hata thamani yake..
aiseee ila wadada wanahangaika na mavipodozi expensive tu bure
huyu wema akijisugua na pumba na nazi
then akajipaka mafuta ya nazi na asali angekuwaje mzurii
hata mimi ninamshinda aisee...ukitoa sura haingii kwangu hata moja ingawaje mimi sio miss
Uko sahihi kwa 50%. Hiyo 50% nyingine ni kwamba kuna wanaopenda manyo.nyo makubwa (kwetu wanaitwa Cowbell) na wengine vindimu au limao changa (nido). Ila hayo ya Sepeto yako katikati, ila yanavutia.
Unaongea kama unamjua vile!wewe humjui Wema
she is a mental case
i am sure hizi ame post mwenyewe instagram
halafu eti amtumie babe wake
huyu ana wabebes tele....lol
but picha ya hivi kwenye public, naona kama si maadili
Ukiulizwa hasara za 'teknohama' ndio hii mojawapo
maskini jamani![]()
Miguu kama ya Manka halafu hiyo michirizi ya mapajani!!!!