Premierleague
Senior Member
- Jun 6, 2025
- 166
- 254
- Thread starter
-
- #21
Twitter naweza sema haipo kabisa binafsi nimehangaika wee nikaenda insta sielewi TikTok ndio kabisa sijui inatoka wapi inaenda wapiKaribu
Hvi ni kwangu TU maana saivi nikifungua Twitter haifunguki nimejaribu hadi kupitia chrome haifunguki sijui shida nin
Mashaka gani senior!?Ila hilo jina lako linatia mashaka sana ๐คจ
Jina lako icon yako huna wewe kwani? Vip kule X ulikua unatumia handle gan? Zungumza vZr na moderatorMashaka gani senior!?
Humu inaonekana Kuna watu wengi sana maana Kila jina nililojaribu naambiwa Lina mtu
Nangoja anipe utaratibu huyu madam!Hatuenjoy bure kuna malipo ya kila mwezi.
Kiingilio umelipa kijana??
Muone madam Evelyn Salt akupe utaratibu.
Ee huyo huyoHahaha Tigana lukinja teacher au sio!?
Shida ya X nilikuwa natumia real name na picha picha za kutosha huku pazuri japo najua haimaanishi ni 100% ila angalau Kuna privacy kidogoJina lako icon yako huna wewe kwani? Vip kule X ulikua unatumia handle gan? Zungumza vZr na moderator
Basi hapa sio sec, ukimalizana na huyo kuna huyu muhasibu wa jf wa kuitwa OKW BOBAN SUNZU huyu ndio atakupa utaratibu wa gharama zote.Nangoja anipe utaratibu huyu madam!
Nb:umenikumbusha sec na story za "madam kasema....."
Huyo namuelewa sana tangu yuko eatv hadi Sasa ila sio MimiEe huyo huyo
Weka jina lako hilo hilo halisi, tuone huo u'potential wako !!Shida ya X nilikuwa natumia real name na picha picha za kutosha huku pazuri japo najua haimaanishi ni 100% ila angalau Kuna privacy kidogo
Siwezi toa identity maana mi ni mtu potential sana
Na identity yako inaonesha ni mpenda michezoHuyo namuelewa sana tangu yuko eatv hadi Sasa ila sio Mimi
Dah huku mwendo wa parodies tu hadi poor brain ๐คjamaa kajipa jina bayaBasi hapa sio sec, ukimalizana na huyo kuna huyu muhasibu wa jf wa kuitwa OKW BOBAN SUNZU huyu ndio atakupa utaratibu wa gharama zote.
Mwisho kabisa ukitaka majukwaa ya kikubwa mcheki Poor Brain
Utaniogopa sana nataka nipate mawazo ya watu kwa uhuruWeka jina lako hilo hilo halisi, tuone huo u'potential wako !!
Sasa nikuogope kwa kipi yani mjomba? ๐Utaniogopa sana nataka nipate mawazo ya watu kwa uhuru
Hata hapa naangalia team yangu ya taifa na SA mechi naona kama ngumi za kaoneka na mandonga imagine Jana naangalia kile kiume Yamal Leo namuangalia seleman mwlNa identity yako inaonesha ni mpenda michezo
U potential mkuu mi nawajua watz hauchelewi kutaka kuwa liceSasa nikuogope kwa kipi yani mjomba? ๐
Sasa ww ndo unajiogopa hakun mtu anaemuogop mtu humu ndani ๐U potential mkuu mi nawajua watz hauchelewi kutaka kuwa lice
Karibu sana JF mkuu, ila kila utakachokikuta humu usichukulie serious sana kuna wapishi wazuri wa chai, hoping soon utaanza kuzifaidi utamu wake๐Baada ya Twitter X kutopatikana nikaona nitafute jukwaa la kutuliza akili
Nimegundua JA Inafaa kuliko Insta
Nipokeeni wapwa
Safi kabisa napenda watu jasiri ndugu Pepe madochi๐Sasa ww ndo unajiogopa hakun mtu anaemuogop mtu humu ndani ๐
Ukifollow na follow back mpwa fanya ku follow mara mojaKacheze ulikokua unacheza