Hivi kwa karne hii bado kuna wanaume wanaruhusu hili kwa wake zao?

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,816
6,389
Baada ya kupokea haya majibu nilipigwa na butwaa na kujiuliza, inawezekanaje huyu mwamba amruhusu mke wake abaki na simu yake wakati yeye ni mgonjwa? Tena ametoka kunywa dawa za usingizi!!!

Karogwa au wamechagua tu kuaminiana kwenye ndoa yao?

Aisee kumbe wanaume waaminifu bado tupo, nilidhani nimebaki peke yangu .
Screenshot_20240201-144449~2.jpg
 
Mtu anaezini hovyo hana akili maandiko yamesema.
Sio kila mtu ngono hobby yake
Ni kweli Biblia imesema hivyo mkuu, nakiri.

Hofu yangu ni kwamba hizi simu za mkononi zina mambo mengi, wakati mwingine mtu anaweza akakosea hata kutuma msg ikatokea songombingo kwenye ndoa!

Unaruhusuje mke wako ajiachie na simu yako ya mkononi?

Anyway, kwa upande mwingine nampongeza sana mwamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom