Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,369
- 30,009
Yaani mie niwe wa akiba jamani!! Haya bwana, akiba haiozi.
Ha ha ha ha akiba yenyewe ya nyanya kuoza jiandae
Yaani mie niwe wa akiba jamani!! Haya bwana, akiba haiozi.
Hii haituhusu nadhani...
Leo Jumangapi?? Hili jibapa hata silielewielewi...Babu shikamooo
Unataka kuwa wa nini vileeYaani mie niwe wa akiba jamani!! Haya bwana, akiba haiozi.
Mimi kilichonimaliaza... eti huyu mzembe anayelia sababu ya papuchi... hata haka ka espy hakamjui... sasa habari zote sijui kalizipatia wapi... Ila hizi nadhani si tabia za wanawake wote. Tusiiweke kwenye utafiti.Ha ha ha ha kwan swal langu ni ilikuaje akawa dinner na mtu halafu akawa shilawadu muda huo huo
Hahaha....nisije kuja kuwa mpenzi mtazamaji kama mwenzio ulokuwa unamchungulia.Hivi hujui hiyo ndio heshima na marupurupu ya mwalimu?
Mimi kilichonimaliaza... eti huyu mzembe anayelia sababu ya papuchi... hata haka ka espy hakamjui... sasa habari zote sijui kalizipatia wapi... Ila hizi nadhani si tabia za wanawake wote. Tusiiweke kwenye utafiti.
Mzee mwenzangu mama mkwe wako namwambia aje nimpleke sehemu hajawahi fika....staki ateseke kutafuta penzi la ukweli
Vitu vingine huwa vinakuja automatikali!!