Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Nilimuacha coz niliona tungeoana tusingedumu kwa mambo mawili
Mosi:
Kazi yake ni baharia anaweza akasafiri kwa kuanzia miez 6 hadi mwaka,sikuwa nalipenda hili ingawa ndio yk
Pili:
Alikuwa anakaa kwao na mm sipendi kukaa ukweni kwa kweli
Ukikaa ukweni maugomvi na mawifi hayaishi yan
Huyu siwez kumwacha kwanza tumeshAkuwa watu wazima now ndoa yetu ina miaka 11
Ahsanta kwa majibu mutlib..

Ikitokea bahati mbaya ukamuacha... unaruhusiwa kunitafuta ili tusaidiane kufukia mashimo ya mahaba, sawasawa??
 
Ahsanta kwa majibu mutlib..

Ikitokea bahati mbaya ukamuacha... unaruhusiwa kunitafuta ili tusaidiane kufukia mashimo ya mahaba, sawasawa??
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Mwenzenu yalinikuta mwaka 2016,nkalea mimba miez9 anazaliwa mtoto naletewa card y clinic kumbe mtoto so wangu binti ana card za clinic 3za watu tofauti tofaut
 
Ile ya kulia hadharani ndio ilinishangaza maana sijawahi kushuhudia, wanasemaga wanaume wana vifua.
Hana moyo wa simenti chapa tembo bali ana moyo wa nyama ..sio siri lakin kuna watu wana roho za kinyama sana aise...kwaio alikua anamtumia tu for all those years....
ni vizur sana alikua na rafik karibu kumchukua mana hatua hio hapo u can do anything drastic
 
Yaani nione mwanaume analia hadharani kabisa alafu niuchune tu!![emoji134] [emoji134] haki ningeumwa tumbo.
Hahahah.. Sasa baada ya kupata taarifa zote za kilichojiri, mwenyewe ukajisikia kama umeutua mzigo mzito? Eti? Tuambie basi
 
Mwenzenu yalinikuta mwaka 2016,nkalea mimba miez9 anazaliwa mtoto naletewa card y clinic kumbe mtoto so wangu binti ana card za clinic 3za watu tofauti tofaut
Duuuh!! Usawa wa magu mgumu huu!!
 
Mimi najiuliza haya yote uliyajuaje wakati wahusika walikuacha bar
 
Hana moyo wa simenti chapa tembo bali ana moyo wa nyama ..sio siri lakin kuna watu wana roho za kinyama sana aise...kwaio alikua anamtumia tu for all those years....
ni vizur sana alikua na rafik karibu kumchukua mana hatua hio hapo u can do anything drastic
Ndio ile wanasema mapenzi hayajaribiki, inaelekea binti alitest tu apate tulizo kwakuwa jamaa yupo mbali basi ndio akanogewa mazima.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hahahah.. Sasa baada ya kupata taarifa zote za kilichojiri, mwenyewe ukajisikia kama umeutua mzigo mzito? Eti? Tuambie basi
Nilivyozipata taarifa nazo tumbo likaanza kuuma, yaani hapa naona nimetua booonge la mzigo yaani acha kabisa.
 
Aah kwakweli.
Kuna watu tunayo ya moyoni sema bhac2 anaelia kwa ajili y mapenzi me simshangai coz kaz y moyo nikusukma damu ukipenda Ni kiherehere chako[emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji12]
 
Wanawake Hawa bhan
9f5d964b8f84475808642b67cb17d789.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom