Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

I was born a saint but because the World is rough l decided to do the same that is why we blame each other daily.

Its called gender conflict and passes from one generation to another.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]alikosea sana kwa kawaida spare tyre ni mhimu sana,kama Mimi alizingua alafu tarehe ile ile tuliyopanga kufunga ndoa nikafunga na kimwana mwingine
 
We mwenyewe mmbea... Umecomment vip kam si umbea umekufanya usome[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hii mada ameanzisha kwa kutuhusisha sisi wanaume, so hapa ni uwanja wangu wa kujidai, sio kama yeye ameenda kuvamia maongezi ya watu kwa umbea mahususi...
Alafu nimegundua wewe pia mbea
 
Mama vingine vinatokea tu wala haupangi!! Vipi wewe haujawahi kubomoa moyo wa mtu?
Ndoa ni swala pana madAda itabidi kufanya chAguzi sahihi ukishaona kuwa huyu akikuoa hamtWezana basi muache tu,atalia lakini atasahau na maisha yataendelea
Ila wengine wana tabia mbay umeshaona huyu jamaa hutaweza kuoana nae but bado unaendelea kumchuna tuu mwisho Wa siku ndio unambwagaa
 
Mimi najiuliza tu kama mlivyoenda kupata huo umbea, mngekuta ni msiba kama mlivyodhania mngefanyaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]alikosea sana kwa kawaida spare tyre ni mhimu sana,kama Mimi alizingua alafu tarehe ile ile tuliyopanga kufunga ndoa nikifunga na kimwana mwingine
Duuuh!!! Hii hat trick uliifungaje mkuu!!
 
Hii mada ameanzisha kwa kutuhusisha sisi wanaume, so hapa ni uwanja wangu wa kujidai, sio kama yeye ameenda kuvamia maongezi ya watu kwa umbea mahususi...
Alafu nimegundua wewe pia mbea
Yaani nione mwanaume analia hadharani kabisa alafu niuchune tu!![emoji134] [emoji134] haki ningeumwa tumbo.
 
Ndoa ni swala pana madAda itabidi kufanya chAguzi sahihi ukishaona kuwa huyu akikuoa hamtWezana basi muache tu,atalia lakini atasahau na maisha yataendelea
Ila wengine wana tabia mbay umeshaona huyu jamaa hutaweza kuoana nae but bado unaendelea kumchuna tuu mwisho Wa siku ndio unambwagaa
Hilo la kumchuna naona una utani na Valentina[emoji85] [emoji85] [emoji85]
For sure, wakati mwingine ni zaidi ya kupenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom