Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

If she rejects you by saying "I don't date broke guys", My Brother, just go, work hard and fix your broke status. When she comes back, just tell her I only date virgins.. wait and see how she fixes that!
The guy isnt broke at all, maybe kuna sababu nyingine, lakini pia wanasema sex makes women fall in love, maybe hiyo ndiyo sababu.
 
Si zile pampers anazokuvalisha boyfriend wako kabla hamjala chakula cha usiku?? Nadhani anahofia usije ukakojoa kitandani...
Hebu usinikuze mtoto wa watu.[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
The guy int broke at all, maybe kuna sababu nyingine, lakini pia wanasema sex makes women fall in love, maybe hiyo hiyo sababu.
Aaah usiniambie na wewe ilikufanya u-fall in love[emoji87] [emoji87]
 
daah.. hata mi ningelia sema ningelilia chooni asinione mtu... nikimaliza nafanya yangu narudi mezani...
KIUTU UZIMA ZAIDI......
Hahaaaa!! Ungerudi macho mekundu wangestukia tu kuwa kuna jambo.
 
Back
Top Bottom