Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hahahahah Amen to thatKatika hili tufunge na kuomba, ila mimi nimeishinda[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahah Amen to thatKatika hili tufunge na kuomba, ila mimi nimeishinda[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]Bado wapo na watazidi kuwapo kwakuwa naamini kila binadamu huzaliwa na roho ya upendo na uaminifu so hata kijana wako wa kiume ukimlea vema katika misingi ya kutopoteza roho ya upendo na uaminifu aliozaliwa nao bhas amini atakuja kuwa gentleman hatar sana na atakuletea sifa nyingi toka kwa mkweo atakaemuoa,sisi wengne maisha na malezi mabovu ndiyo yamesababisha tumekosa kuwa na upendo wa ukwel na uaminifu...dah
Kwakweli umenitonesha kidonda.
Gani....Ukinizingua sifungui thread, nakupa adhabu moja mubasharaaaa.
Si zile pampers anazokuvalisha boyfriend wako kabla hamjala chakula cha usiku?? Nadhani anahofia usije ukakojoa kitandani...We usinisingizie!! Condom ndio chakula gani?
Hah hah hahI love you too... will you marry me??
Jamani, ndio jibu hilo??Hah hah hah
Aaah mpendwa, ni mimi kweli jamani? Mbona kama sijaona chochote au? Em angalia vizuriMpendwa ndo nn hivo kunchomesha mahindi?
Ndo wewe buana. Nimekusubiri maeneo yetu ya kujidai, hujatokea.Aaah mpendwa, ni mimi kweli jamani? Mbona kama sijaona chochote au? Em angalia vizuri
Mbona husemi na tukiwa kitandani huwa nakufanyia nini na viroba vyangu kichwani???Kweli viroba vya mchana sio chai, ukipita juani unalewa zaidi.