kumbe vijana wa kisasa wanakula UGORO? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kumbe vijana wa kisasa wanakula UGORO?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BAGAH, Feb 14, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kale nilijua ugoro ni kwa ajili ya babu na bibi zetu (wazee)
  ila kadiri cku zinavyokwenda naona soko linakua kwa kasi
  naona matangazo ya kuhusu ugoro yanaongezeka...
  nimeona ukuta mmoja maeneo flani umeandikwa kwa maandishi makubwa ya rangi nyekundu:"ugoro wa ukweli unapatikana hapa"
  mara ukipita karibu na wamasai wanakuambia kijana karibu ugoro, alah, kumbe na sisi tumo!!
  au ndio kuberi ya kienyeji!!?
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ugoro ni janga la taifa
   
 3. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Unastimu zake ukiuzoea..
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  duh!!!...kumbe hata kwetu wapoo
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Aisee mi nilimuona kijana mmoja anakula sikuamini! Kijana wa maana Husninyo akimuona anaweza fikiri anafaa kuchunwa, hovyooo kabisa!
   
 6. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nimevaa uhalisia ili nifikishe coment tu bt mie sio mdau..
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,186
  Likes Received: 10,534
  Trophy Points: 280
  pale mwenge kuna tangazo limeandikwa" ugoro mkali sana"
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hehehe! Kumbe mkweo ndio bingwa wa kuchunae? Sasa twampitia wifi au kila mtu apite njia yake tukutane kule mahali?


  Vijana karibu wote wanakula ugoro, wanaupenda balaa, wamesababisha upande bei mpaka wazee kama ODM wanashindwa kumudu kununua! Maisha ghali mke mwenza, ajira hakuna! Vijana akili na maarifa yote yameishia kunywa/kuvuta ugoro...lol, waonaje ukiacha kuuza bange badala yake uuze ugoro? Ni ushauri tu mke mwenza!
   
 9. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kuna kijana nipo nae ofisini ukimuona ametoka nje tu ujue ni safari kwa bibi, akirudi huwa nacheka sana na zaidi ukimwangalia na suruali yake nyeusi, shati jeupe na tai akikaa ofisini unaweza ukadhani anakula pipi kumbe. Kweli tunawaenzi wazee wetu.
   
 10. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hapa nimeagizwa wa buku na vijana wa chuoni.
  Nikiwapandia niwapelekee.
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,902
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  disgusting...meno yao yanakuwaga na rangi mbaya..midenda,..aaaaaaaghhhhh..bora nivute bang.e sio ugoro..never
   
 12. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ugoro= Cancer ya mdomo.
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  Nilishangaa kipindi cha 'njia panda' akihojiwa binti wa kimaasai wa miaka 13 aliyeozwa na
  dingi yake, binti alisema anauza ugoro hapa bongo na kwa siku anapata si chini
  ya shilingi elfu tano, niliona maajabu, kwa kusema vijana wanatumia hii itakuwa ni
  ukweli tena ukweli mtupu.
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  vijana wa siku hizi wanatumia san
  sijui inawapa stimu gani
   
 15. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ugoro, kuberi nk zote zinamaliza nguvu za kiume halafu tunashangaa 75% hawana nguvu :lol:
   
 16. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Chezeya "ngisugiii" weye?
   
 17. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mimi nimewahi kuona binti akitumia ugoro...

  Nina rafiki yangu yeye anatumia sana kuberi... Nadhani nisipokuwa naye,hata ugoro anatumia.. Natena ni mtanashati wa nguvu...
  Muda wote ananukia,suti karibu kila siku,yani basi tu likishaingia giza...
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Jamani kuna kijana niko naye karibu ofisini, asipokula ugoro akili ina stack
  Sijui tuwafanyeje hawa vijana wa kiume. nimewahi kusikia kuwa ugoro una madhara kwenye ndoa.
   
 19. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  vijana wengi sana wanakula ugoro
  binafsi kuna vijana ninao wafahamu wanakula ugoro sana
  litakuja kuwa janga la taifa muda si mrefu
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  wengi mno
  sigara bei kubwa sana.
  Kwani ajabu?
   
Loading...