agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Bado upweke unakusumbua?[QUOTE="agata edward, Njoo in box
Bado upweke unakusumbua?[QUOTE="agata edward, Njoo in box
[emoji23][emoji23][emoji23] poleaisee.....naona donge
Poleuna chura ? reception je? njaa zako level gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fursa hiii. Natamani hii post ingekuwa yangu ningeshakutumia flight uje Geneva of Africa KadogooCate ticket
Yes, sio kwamba sijawah kuwa kwenye mahusiano...............I was before
sawa sawaKila mtu na mipango yake mkuu.
Mimi napanga nikifika hiyo 33 ndio nianze kupiga nyeto(kwa maana kwamba ndo naanza kubalehe)
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani Mnaweza kuhisi natania hapa ila kwa kweli upweke umenizidi, bora hata ningekuwa na ka sress kidogo ila sio huu upweke....
Wadada naombeni kampan zenu nimechokaa, Hizi ratiba za kazi nazo nadhan zinanibana kidogo nakosa time ya kukutana na nyie sehemu!
Nadhani na mazingira nayoishi pia ndyo maana naona JF itanisaidia saana
NB: age yangu ni 33yrs
ujue ww ulizingua ujue[emoji2]Hahahaaa mkuu uko nchi gani huko kazi muda wote, karibu Tz hata usiku mwingi utapata dem, pia jitahidi kupitia mitandao ya kijamii huwezi kosa, usiwe sirious sana hata kazini kwako utapata, mkuu una fail wapi lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
The club is not the best place to fall in love so at the Bar is where I go... "Ed Sheran"[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani Mnaweza kuhisi natania hapa ila kwa kweli upweke umenizidi, bora hata ningekuwa na ka sress kidogo ila sio huu upweke....
Wadada naombeni kampan zenu nimechokaa, Hizi ratiba za kazi nazo nadhan zinanibana kidogo nakosa time ya kukutana na nyie sehemu!
Nadhani na mazingira nayoishi pia ndyo maana naona JF itanisaidia saana
NB: age yangu ni 33yrs
Tena we we unaefikiri hivyo yanaweza yakakukuta kama ya STAMINA mapema ukakimbilia kujitundika33 unasubiri nini, mimi napanga nikifika umri huo niwe na mke na mtot mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
miaka 33 ni mapema??Tena we we unaefikiri hivyo yanaweza yakakukuta kama ya STAMINA mapema ukakimbilia kujitundika
Bado upo Zanzibar mkuu ?ERIK, Njoo tupunguziane upweke
Wewe una wake wangapi hadi sasa ?Ukifikia hiyo hali....ndio maamuzi ya kuoa huwa yanapatikana
Alone but happy ni kikauli kakujifariji tukaka nilijua tu siwezi kukukosa hapa
"Alone but happy"
MkuuSasa kama kazi zina kubana huyo mpenz utakua na muda naye saa ngapi? au ndo unataka mtu ajage kuomba ushauri humu kuwa mpenz wake yuko bize hana mda na yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app