Kumbe upweke ni zaidi ya stress

Kumbe upweke ni zaidi ya stress

Ukifikia hiyo hali....ndio maamuzi ya kuoa huwa yanapatikana
Ivi ilemichepuko yako yote uliokuwanayo unashindwa kumconnectia hata mmoja 😂 iliupweke uishe mm najua ww hushindwi embu fanya hivyo chezesha hiyo puzzle hapo. 😊😊😊
 
Ivi ilemichepuko yako yote uliokuwanayo unashindwa kumconnectia hata mmoja 😂 iliupweke uishe mm najua ww hushindwi embu fanya hivyo chezesha hiyo puzzle hapo. 😊😊😊

ha ha haaaa.....Dhambi kuwadanganya wasichana Jamani tusiwachanganye saana
 
ha ha haaaa.....Dhambi kuwadanganya wasichana Jamani tusiwachanganye saana
Maisha ndio yalivyo hivyo ex gal wangu anaweza akawa hata mke wako au wako akawa mke wa mtu mwengine muhimu uhai tu.
 
Kwan unalala hapo hapo ? Stendi, hospital, dalalada nk kote kote kote

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo ni mazingira, huwa sipandi daladala packing ni officen nikitoka ni home, ngoja nianze kutoka hata week end japo sipo family saana na hata wale wa ma outing wengi ni vicheche ndyo kwenye tatizo pia
 
Huendagi kanisani/msikitini?
Huendagi misibani/kwenye sherehe?
Ofisi yako ni wanaume watupu?
Unafanya kazi usiku na mchana?
Huna marafiki wenye wapenzi au huna Dada zako wenye rafiki zako?

Acha mbwembwe usijifanye unaishi Nchi ya peke yako? Au unacontrol rada ya usalama wa Nchi aise?

Sent using Jamii Forums mobile app

Najua sio rahisi kunielewa mkuu kwa akili ya kawaida ila sio mtu wa aina unayofikiria kujichanganya ovyo bila sababu ya msingi......
 
Back
Top Bottom