DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simple,
Ukiona una matatizo mengi, yaandike kwenye status baada ya masaa 24 yatapotea.
[emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simple,
Ukiona una matatizo mengi, yaandike kwenye status baada ya masaa 24 yatapotea.
[emoji41][emoji41]
Naona wengi wanajitoa ufahamu wakijifanya hawajuhi hilo suala.Kumbe life hujalijua wewe..unaweza ukawa na mume au mke hapo na bado ukawa lonely...
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kuna watu wameoa wakiwa na 55 kama na hakuna kilichoharibika
Hapana nimesharudiBado upo Zanzibar mkuu ?
Sawa mkuu. Halua haluaHapana nimesharudi
I like your dreadlocks
comewel