Ile show ni ya kweli ila sasa wanaoenda kutafuta na kutafutwa ndio sio wakweli. Wanaenda ili waonekane kwenye TV.
Hata hivo, hata watu wakipatana kweli baada ya show asilimi za kuachana ni nyingi sana. Kwa sababu mwanaume ndio anajinadi sifa zake.za.mwanamke hakuna zaidi ya mwonekano tu. Unategemea nini?