Kumbe shida kubwa kwa WanaCHADEMA ilikuwa ni kulamba asali na wala sio maslahi mapana ya umma. Shida kubwa ilikuwa mpate mlo wala sio kutetea wananchi

Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano!

Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili ya matumbo yenu?

Mmelamba asali sasa mnaona mmepata kila kitu
View attachment 2249845
Kitila hovyo kabisa
 
Kwa kuwa unachosema sasa kazi hiyo umeachiwa wewe jaribu kuwapigania wanan hi tukuone
 
Attachments

  • IMG-20220604-WA0000.jpg
    IMG-20220604-WA0000.jpg
    38 KB · Views: 4
CDM inamtizamo wake na inatenda inavyo ona sawa na wewe, wakati wa jiwe kwakuwa ulikuwa unapatiwa damu za watu alio waua na kuwakandamiza hukuonekana kuumia mana udhalimu uliokuwa unafanyika ni furaha kwako.
CDM wakati huo walikuwa wanaumia, kama we we unavyo umia na amani na haki iliyopo sasa.
 
Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano!

Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili ya matumbo yenu?

Mmelamba asali sasa mnaona mmepata kila kitu
View attachment 2249845
Umasikini wako hautakwisha Kwa kumchukia Rais Samia na Chadema. Utakufa kwa kihoro mwaka huu, tafuta mume uolewe tu Meko kafa na hatafufuka kamwe.
 
Chadema wameteswa sana, wamelemazwa sana, wameuliwa sana na mzee wa Chattle. Its time nao wapumue kidogo. Mungu ibariki CHADEMA
 
Back
Top Bottom