Pamoja na kuwepo uwezekano wa kuwa mwizi, si ajabu anaishi nchini kiharamu. Katoe taarifa polisi haraka.
Shem,hii nimesikia leo.Mi najua unapenda tim vibamia,kumbe na timu jambazi!mbona mdogo wangu sio jambazi au umeanza mchepuko?Sanaaaaaaaaaaaaaaaaa.........
Wwweee shoxtiiii embu niambie na mie jina la huooo mtandao!
Shem,hii nimesikia leo.Mi najua unapenda tim vibamia,kumbe na timu jambazi!mbona mdogo wangu sio jambazi au umeanza mchepuko?
huyo "bwana" atakaetoa njia ni nani??
ushauri wako best huo kweli...Wa west wamejaa kibao bongo hasa kinondoni! Ni weZi sana sana! Angalia watakuingiza matatizoni! Mpaka polisi wakuelewe ushasota sana huko lupango
bila shaka itakuwa ni bwana jambazi.....
Ni kweli mkuu na awe na tahadhari kubwa sana maana cku huyo jamaa akidakwa yeye ndie atakua shahidi mamba 1 maana itaonekana yeye ndie anamsadia mhalifu kuishi hapa nchini kwa kua yeye ni mwenyeji
naishi nae nyumbani kwangu:angry: