Kumbe Mzena Hospital iko pia Zanzibar

Kumbe Mzena Hospital iko pia Zanzibar

Nimecheka sana Mkuu. Hapana kuna Mzena Hospital moja tu. Msamehe Mgeni kwa Kukosea huko na hata waliomuandikia.
Ukisoma salamu za rambirambi kutoka Ikulu ya Zanzibar, utaona wametaja kuwa marehemu alifariki wakati akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena-Zanzibar....Itakuwa very strange kama taarifa zote mbili zina makosa yanayofanana......
 
Unaweza kuta wanaficha mtu kafia Dubai au Hambugh, so wanajisahau uongo kazi sana wandugu na una gharama kubwa, kumbuka huyu jamaa anaandaliwa speech na wataalam hatumii nguvu kufanya any research kwa nini afanye kosa kubwa namna hiyo la kiufundi?
Inatisha kuwa na viongozi wanaojua kukariri tu walichoandikiwa bila kuwa hata na ufahamu kiduchu na akili ya utafiti juu ya walichoaminishwa.
Mimi mwenyewe niliamini kuwa amekosea, kuwa huenda mwenza amefia Dar. Ngoja tujipe muda, wajuvi watuambie labda kuna Mzena hospital Zanzibar.

Vv
 
Leo ndio nimejua nipo nipo sifaham mambo mengi kama nalo lina ukweli
IMG_7651.jpeg
 
Leo ndio nimejua kuwa Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena iko pia visiwani Zanzibar.

Nimejua hayo kupitia taarifa ya Makamu wa Rais, akitangaza kifo cha Mume wa Rais Samia leo.

Ikumbukwe, hiyo ni hospital maalum kwajili ya viongozi waandamizi wa Serikali na ile iliyozoeleka huwa ipo hapa Dar.
Hospital ya wale watu..elewa 'wale watu"
 
Nilivo skia kwenye ile taarifa na ikatamkwa ni hospital ya mzena zanzibar nikajua tu huyu alie andika na alie soma mbele ya camera wote wamekosea au wamechanganya taarifa
Anyway POP simame na mzee popote aendapo kutoka hapa duniani
Hakujihusisha na siasa kabisa
 
Kwa sababu ya kifo ndo mana wametangaza,Ipo hivi TISS hatibiwi hospital ya kawaida sababu ya unyeti wa kazi yake ,kwa Zanzibar hutubiwa Tunguu mzena Mkoa wa kusini Unguja
Kuna vitu hamvijui, enzi za Mwalimu taasisi nyingi zilikuwa na hospital/dispensary zao.

Mfano JWTZ hospital yao ni Lugalo hata raia wanatibiwa.

Mzena wanatibiwa wafanyakazi wa idara na familia zao na wana kitengo cha VIP kwa ajili ya viongozi waandamizi.

Wafanyakazi wengi tu wa Tiss wala hawana mpango na hiyo hospitali wanatibiwa kwenye hospitali nyingine wanatumia bima zao za NHIF.

Upendeleo waliopata hospitali imewezeshwa facility za kisasa lakini hakuna hospitali ya kuizidi Muhimbili, madaktari Bingwa wote wapo Muhimbili.
 
Mzena haijawahi ponya mgonjwa yeyote toka ijengwe mwaka 1961 huwa inauguza marehemu tu
Ukisikia watu wajinga wanaitwa na wewe ujitokeze ni miongoni mwao

Nenda monchwari ya Muhimbili kila siku watu wamejaa kuchukuwa maiti zao, hii ina maana Muhimbili hakuna anayetibiwa na kupona?

JF imejaa mazezeta sana siku hizi.

Tena Mzena ndio inastahili sifa maana hawana monchwari hawana matarajio ya kutibu na wagonjwa kufa hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom