Kumbe Mzena Hospital iko pia Zanzibar

Kumbe Mzena Hospital iko pia Zanzibar

Leo ndio nimejua kuwa Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena iko pia visiwani Zanzibar.

Nimejua hayo kupitia taarifa ya Makamu wa Rais, akitangaza kifo cha Mume wa Rais Samia leo.

Ikumbukwe, hiyo ni hospital maalum kwajili ya viongozi waandamizi wa Serikali na ile iliyozoeleka huwa ipo hapa Dar.
Hahahaa hakuna hospitali ya namna hiyo kule waongo sana hao wameshindwa kuedit habari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom