Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,597
- 9,725
Mkuu huoni nimeandika chit chatUkisikia watu wajinga wanaitwa na wewe ujitokeze ni miongoni mwao
Nenda monchwari ya Muhimbili kila siku watu wamejaa kuchukuwa maiti zao, hii ina maana Muhimbili hakuna anayetibiwa na kupona?
JF imejaa mazezeta sana siku hizi.
Tena Mzena ndio inastahili sifa maana hawana monchwari hawana matarajio ya kutibu na wagonjwa kufa hapo.