Kumbe Mosul ndio ile Ninawi/Nineveh ya Yonah

Kumbe Mosul ndio ile Ninawi/Nineveh ya Yonah

hahaha alitibu mkuu. Inaomekana alipenda sana kuendekeza starehe. Ila alivyotapikwa naskia alishusha neno kichizi. Sasa sijui nani Sasa hivi anaweza kuwa Na ujasir wa Yona kwenda Mosul ama Raqqah kuhubiri injili
Hakujipeleka, alipelekwa! Ujasiri siyo subject kwenye hili.
 
Bustan ya Eden ilikuwa Ngorongoro
Kuna tafiti nyingi wanasayansi walifanya kuhusiana na eden ilipokuwepo na kweli ngorongoro ni moja ya tafiti hizo na walikibali uwepo wa bustani hyo kutokana ramani ya bustani ilivyoelezwa ktk biblia
 
Mkuu Copenhagen DN hapo kwa Mamajusi upo sure kweli?

Nijuavyo mimi, wale Mamajusi walikuwa ni watu wa maeneo mbalimbali ya dunia.....walikuwa kama ifuatavyo;

1.Gaspar aliyekuwa Mfalme wa Sheba alipeleka Ubani.Ubani uliashiria uhusiano wa lile tukio na Mungu

2.Melkiory aliyetoka Arabia alipeleka Dhahabu.Dhahabu iliashiria kuwa Yesu ni Mfalme.

3.Baltazar alitoka Tarse & Egypt alipeleka Manemane.Manemane iliashiria kuwa Yesu atakufa.

Hawa watu walitoka maeneo mbalimbali lakini wakakutana kwa Herode(inasemekana)

Pia hakuna ushahidi kama wote watatu walikuwa wafalme, lakini wote walikuwa Astrologers ndio maana waliweza kusoma nyota ya Yesu na kugundua kwamba haikuwa nyota ya mtu wa kawaida.

[Haya ni maandiko yasiyo rasmi]
hao wanasemwa walitokea mashariki,imenitoka kidogo kuna watu wana argue kuwa mashariki mwa bethlehem ni bahari
 
hao wanasemwa walitokea mashariki,imenitoka kidogo kuna watu wana argue kuwa mashariki mwa bethlehem ni bahari
Congo ipo Magharibi mwa Tanzania lakini Magharibi mwa Tanzania ni ziwa Tanganyika.
 
Mzuka Wanajamvi!

Kama mnavyojua vita kali inaendelea huko Iraq kuwaondoa wahuni wa ISIS Mosul. Lakini jambo la kufurahisha nimekuja kugundua huu mji wa Mosul ndio hule Yona alitumwa Na Mungu kupeleka neno akala kona na kuingia chaka. Ikabidi atupwe baharin Na kumezwa Na nyangumi. Nadhan story mnahifaham.

Kumbe pia Ayubu ama Job alikuwa MuOmani ama Myemeni kaburi lake hadileo liko kati ya Yemen Na Oman.

Kumbe Pilato alikuwa Mfaransa (Gaul) ambalo lilikuwa jimbo la Kirumi.

Wale mamajus waliompelekea mwokoz wetu zawad walikuwa wakurd maeneo ya Tikrit Iraq.

Sodoma Na gomorrah ilikuwa ndio Syria.

Jezebel alikuwa mlebanoni (Phoenician) kutoka mji wa Sidon ambapo Sasa hivi Hezbollah wamejikita.

Mke wa musa Zipporah alikuwa Muafrika kutoka Ethiopia.

Nilikuwa najiuliza uislam ulifikaje hizi nchi Malasyia, Indonesia Na Brunei kumbe ni Otoman waturuki waliufikisha huko Ata mji wa Aceh ni kituruki.
Ahsante kwa hii shule
 
ninavvyojua haya mambo ya dini yalitokea mashariki ya kati, na yale maajabu saba ya dunia mengi yapo iraq
 
Mzuka Wanajamvi!

Kama mnavyojua vita kali inaendelea huko Iraq kuwaondoa wahuni wa ISIS Mosul. Lakini jambo la kufurahisha nimekuja kugundua huu mji wa Mosul ndio hule Yona alitumwa Na Mungu kupeleka neno akala kona na kuingia chaka. Ikabidi atupwe baharin Na kumezwa Na nyangumi. Nadhan story mnahifaham.

Kumbe pia Ayubu ama Job alikuwa MuOmani ama Myemeni kaburi lake hadileo liko kati ya Yemen Na Oman.

Kumbe Pilato alikuwa Mfaransa (Gaul) ambalo lilikuwa jimbo la Kirumi.

Wale mamajus waliompelekea mwokoz wetu zawad walikuwa wakurd maeneo ya Tikrit Iraq.

Sodoma Na gomorrah ilikuwa ndio Syria.

Jezebel alikuwa mlebanoni (Phoenician) kutoka mji wa Sidon ambapo Sasa hivi Hezbollah wamejikita.

Mke wa musa Zipporah alikuwa Muafrika kutoka Ethiopia.

Nilikuwa najiuliza uislam ulifikaje hizi nchi Malasyia, Indonesia Na Brunei kumbe ni Otoman waturuki waliufikisha huko Ata mji wa Aceh ni kituruki.
Mavitabu ya Dini zote ni riwaya tu.
 
Hv kwanini mji yote ya zamani imebadilika majina kasoro Israeli na misri
 
Back
Top Bottom