Himawari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 2,609
- 1,703
Yona = Yunuskwani yunus alivoingia Chaka akamezwa na samaki,si alitubu?si alitapikwa?si alirudi kuwalingania waja?Au unaamanisha alikula chocho mazima?
Job = Ayub
Joseph = Yusufu
Solomon = Suleiman/Seleman
Moses = Musa
Yesu = Issa
Mary/Maria = Mariam
Eva = Hawa
Adam = ??
Peter = ??
Simon = ??
David = ?!
Interesting!