Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
Sodom na gomorah ni miji ilikuwa karibu na dead sea,
inasemekana miaka mingi nyuma miji hiyo iliharibiwa na tetemeko la ardhi pamoja na volcano iliyorusha lava,mapande ya moto na kuiharibu miji hiyo miwili ,haiwezi kuwa syria,kwani syria ni mbali mno toka dead sea