Kumbe Mosul ndio ile Ninawi/Nineveh ya Yonah

kwani yunus alivoingia Chaka akamezwa na samaki,si alitubu?si alitapikwa?si alirudi kuwalingania waja?Au unaamanisha alikula chocho mazima?
hahaha alitibu mkuu. Inaomekana alipenda sana kuendekeza starehe. Ila alivyotapikwa naskia alishusha neno kichizi. Sasa sijui nani Sasa hivi anaweza kuwa Na ujasir wa Yona kwenda Mosul ama Raqqah kuhubiri injili
 
kwani alihubiri injili?nihabarishe ndugu
 
Mzuka Wanajamvi!

Kama mnavyojua vita kali inaendelea huko Iraq kuwaondoa wahuni wa ISIS Mosul. Lakini jambo la kufurahisha nimekuja kugundua huu mji wa Mosul ndio hule Yona alitumwa Na Mungu kupeleka neno akala kona na kuingia chaka. Ikabidi atupwe baharin Na kumezwa Na nyangumi. Nadhan story mnahifaham.

Kumbe pia Ayubu ama Job alikuwa MuOmani ama Myemeni kaburi lake hadileo liko kati ya Yemen Na Oman.

Kumbe Pilato alikuwa Mfaransa (Gaul) ambalo lilikuwa jimbo la Kirumi.

Wale mamajus waliompelekea mwokoz wetu zawad walikuwa wakurd maeneo ya Tikrit Iraq.

Sodoma Na gomorrah ilikuwa ndio Syria.

Jezebel alikuwa mlebanoni (Phoenician) kutoka mji wa Sidon ambapo Sasa hivi Hezbollah wamejikita.

Mke wa musa Zipporah alikuwa Muafrika kutoka Ethiopia.

Nilikuwa najiuliza uislam ulifikaje hizi nchi Malasyia, Indonesia Na Brunei kumbe ni Otoman waturuki waliufikisha huko Ata mji wa Aceh ni kituruki.
Kaburi la Nabii Ayoub (A.S) lipo Salala-Oman kweli
 
Nilimsikia rais wa Uturuki Tayyip Recep
Nilimsikia rais wa Uturuki Tayyip Recep Erdowan akisema uislam uliingia Americas hata kabla ya Christopher Columbus Na Ottoman waliufikisha huko. Nampenda sana Erdowan huyu jamaa huko thabit sana
True mkuu na ushahidi upo! Recently kuna tomb imegundulika wamekuta vyungu vyenye nakshi ya maandishi ya kiarabu na qur'an sehemu za Virginia na Hillary pia kalirudia hili kwenye moja ya campaign zake refer her last presidential debate ali mention "islam was here before Columbas"
 
Back
Top Bottom