The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,654
Ndio maana nilisema uislam ulianzushwa na wakristo kwa sababu.
una ID ngapi?
Ndio maana nilisema uislam ulianzushwa na wakristo kwa sababu.
5una ID ngapi?
InterestingHistoria inavyo andikwa na wazungu sio historia kamili
ndo maana wanasema Livingstone aligundua Ziwa Tanganyika
Haya lete wewe historia unayoijua wewe ambayo haijachakachuliwa.Historia inavyo andikwa na wazungu sio historia kamili
ndo maana wanasema Livingstone aligundua Ziwa Tanganyika
WRONG.Bustan ya Eden ilikua Iraq mzee... Mashariki mwa nchi hyo
Na ule Mnara wa Babel Ndo mlima K'njaroKumbe Bustani ya Eden ilikua Dodoma?
Wakati Waha walikuwa wanaogeleamo na kuvua Migebuka vizazi na vizaziHistoria inavyo andikwa na wazungu sio historia kamili
ndo maana wanasema Livingstone aligundua Ziwa Tanganyika
Asante sana kwa hii Shule sikuwahi kujuaNi yale marashi ya kumpaka maiti Mkuu.
Ni Yale waliyobeba kina Mariam, Magdalena na Salome kwenda kumpaka Yesu asubuhi ya kuamkia J2 ila wakakuta alishafufuka.
Asante sana kwa hii Shule sikuwahi kujuaNi yale marashi ya kumpaka maiti Mkuu.
Ni Yale waliyobeba kina Mariam, Magdalena na Salome kwenda kumpaka Yesu asubuhi ya kuamkia J2 ila wakakuta alishafufuka.
Kuna baadhi ya miji majina hubadilika kadri wakati unavyobadilika, ikiwemo hio miji. Sometimes kutoka na sifa mbaya (kama Dosoma na Gomora), watu huamua kubadilisha majina ili kuondoa gunduHahaa Copenhagen Tigo ni tatizo kwa wote Biblia imetuficha kidogo ile miji ingepaswa iwe wazi
vizazi na vizazi wakashuhudie
Pamoja sana Mkuu?Asante sana kwa hii Shule sikuwahi kujua
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe Bustani ya Eden ilikua Dodoma?
Mkuu nakukubali kwa wazo lako ila wasioelewa watakurushia matee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ninooooma
nadhani mmatumbiAisee....yule SIMON wa Kirene...aliyelazimishwa kumsaidia YESU kubeba msalaba alikuwa anatoka wapi????
MweeeKumbe Bustani ya Eden ilikua Dodoma?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Simon yule mkirene aliyemsaidia Yesu kubeba msalaba kuelekea Goligota alikuwa mwenyeji wa kirene ambayo alijulikana kama cyrenecea ndiyo libya ya sasa .nadhani mmatumbi
Hahaaa na safina ya Nuhu ilishusha aina mbalimbali za wanyama mbuga ya SerengetiKumbe Bustani ya Eden ilikua Dodoma?