Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,379
Kirene ni mji uliokuwepo Afrika, katika nchi ya Libya ya sasa karibu na mji wa Shahhat, palikuwa na chuo kikuu cha filosofia
Inawezekana, lakini Simon alikuwa ni mtu mweusi Mnubi-Sudan/Egypty
Kirene ni mji uliokuwepo Afrika, katika nchi ya Libya ya sasa karibu na mji wa Shahhat, palikuwa na chuo kikuu cha filosofia
Hayo maeneo yote uliyotaja pamoja na Libya yalikuwa ni makazi ya watu weusiInawezekana, lakini Simon alikuwa ni mtu mweusi Mnubi-Sudan/Egypty
Ottoman =Othman = AthumaniOttoman empire ndo uturuki ya leo