The Boss yupo sahihi, historia tunayo fundishwa ni ya uongo ili tuendelee kujiona ni watu dhalili. Lakini ukweli ni kwamba binadamu wa kwanza walikuwa watu weusi
na hata taifa halisi la wana wa Israel walikuwa weusi na hata Wamisri wa kale nao walikuwa weusi na waliandika kwamba walitoka katika nchi ya chanzo cha mto nile katika mlima wa mbalamwezi ( mountain of the moon) hata lugha iliyo andikwa katika mapyramid inashabihiana na lugha za waafrika weusi. Pia uchunguzi uliofanyika hivi karibuni wa vinasaba vya mafarao umeonyesha kufanana na watu East Afrika.
Ukisoma kitabu cha Henoko. (The book of Enock) utaona jinsi mzee Nuhu alivyo shangaa baada ya kuzaliwa mtoto mweupe kwenye familia yake, jiulize ikiwa Nuhu alikuwa mweupe iweje ashangae kuzaliwa mtoto mweupe? Jibu ni kwamba alikuwa mweusi
Hoja nyingine, ikiwa wamisri wa kale walikuwa weusi, na wa Israel tunaaminishwa ni weupe walishindwa vipi kumtambua Musa kwamba si wa uzao wao?