Ngoja na mimi nitulie tusaidiane kuprint yawe mengi kila mtu ashike lake.Hata mawili mawili kwa msisitizo zaidi.
Boy lazima arudi kwa mama week hii!
Jamani huyo mama kafanya nini mbna sielewi
tenaaaaaaaaaa
mtu mzima hovyoooo hajiheshimu kutwa kuzunguka na dogodogo ndo maana anashindwa kumuonya ht mwanae kila siku kubadili sample
wanavyotukanwa wazazi wa wema mnona raha eeeeee
ama kweli mtenda akitendewaa...m
So Wema is less of a person?
Ila Wewe una utani na viumbe wa maulana.
Cc: Mrembo by Nature, Avemaria.
Tulianza kuambiwa kuwa Zari ana mimba feki!!
Mahater mkale malimao!!
Na zile walizotupa kwa mjomba dokta zilikua zako ha ha ha mlisema anavimbisha tumbo, mara hana mimba kashiba matoke sahivi mnasema sio ya dai akizaliwa princess mtasema sio mtoto ni mdoli pyeeeeeeeeee muishie kule zari ndo huyooooo kaokota apple chini ya mwembe ongeeni tu ndo kazi ya mdomo hiyo
Hahahaaaaa mimi naombea iwe yake maana kuna watu humu mtaama jukwaa
best ujue mtu ambaye ni masikin akiokota burungutu la hela anachizika, yule mbegu zake ni hafifu ndo maana haamin katungisha mimba yaan mtoto akiwa wake tujiandae kumzika kwa kufa kwa furaha ilozidi, watu wamezaa hadi marais wa dunia atakuwa yeye

Hahahahaaa, inamaana huelewi kwa yote tuliyoyasema?
Hahahahaaaa, hivi ule uzi wenye gazeti la Kimbambangala kwanini ulifutwa?
Ule ubuyu mtamu sijapata kuona!
Thats true Ms.Lincoln ,unaweza kudhani nafurahisha jukwaa
Lakini huu ni ukweli mtupu...sijaongeza hata chumvi
unafikir kaotea kama jogoo maana akicheleweshewa kidushe kinalala, mtu mmoja kutungisha mimba tusilale tusikohoe, tusinywe bavaria eewwwhhhh , mbagala hapana aisee watanzania wamezaliwa mil.40 huyo mmoja mfyuuuuuu mwanaume wa kweli anajiamin bahna au ndo team bamia/ pilipili kichaa kabisaa
Network inashika then inakata cjui serengeti boy cjawasoma ovaa
Kaaah
Ule ubuyu first grade