Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Hahahahahaaa, JIHOGO LA JANG'OMBE la Saleh kidogo limtoe roho mama chibu.
Mama kaugua kapelekwa hadi India ugonjwa hauonekani kumbe mama ana pressure ya kulikosa JIHOGO!...Lol
Hahaaaaa huyu anko Salehe kiboko aisee hana huruma kabisa kamlambisha ndimu mama wa watu Mpaka kachoka ndimu zikamshinda na maumivu yalivozidi wakampeleka India kumwona Daktari loh! Hatari sana.