Yaani nimemsaka kama anarusha kwingine simuoni maana ile ni ilikuwa tamu utadhani anaiongelea kim mwenyewe
hahaaaaaa ndo mana mnafeli mashuleni ndo umeongea nini sasa...!!
mi nimesema daimond mimba si yakeeee...
hebu kanye kuleee...!!
elewa somo mbwiga weweee.....
mimi mama angu yupo kaburini halafu sasa nipo copy right na baba kudadaeki
lilikua bonge la bao mzee alitungua nikatoka mkyuti mimi...
una swaliiiii......?!!!!!!!!!
Unaweza ukasema Kim mwenyewe kaamua kukinukisha.
Yani afu ilikua tamuu...haijadumu hata dakika 0.
Le mutuz mwenyewe alimdiss dadake Ig
kitanda hakizai haramu?ngoja siku we mndengereko uletewa mchina kama hujageuka samurai ghafla moja!
Kumbe hapo bibie yuko sawa katafuta damu changa istoshe huyo kijana alikua n roho ngumu mana maza sura ngumu kma kala ukwaju.....pia nae ni binadamu ana ashkimajinun kma wengine
hahahaaaa mwenyewe anajiona analipa bwan saleh kaoa lakini
bi mkubwa kapagawa hatariii
Kitanda hakizai haramu mkuu
We kweli boga kama mnyama ningekuita kondoo na kama ndege wewe bata....
Kamfufue mama yako muulize na unawezaje kupima mtoto hajazaliwa? S
Haki y mama bi mkubwa anasura ngumu n domo sasa huyo kijana anapata shida wakti w romance
Watu wanasema tu kuwafariji wengine sababu hayajawakuta.
tatizo kazoea kuzoazoa tu mizigo ya watu
Hahaaaaa uwiiii huo ndo ukweli mchungu maneno tu hayo ya kujifariji.
We kweli boga kama mnyama ningekuita kondoo na kama ndege wewe bata....
Kamfufue mama yako muulize na unawezaje kupima mtoto hajazaliwa? S
Kumbe hapo bibie yuko sawa katafuta damu changa istoshe huyo kijana alikua n roho ngumu mana maza sura ngumu kma kala ukwaju.....pia nae ni binadamu ana ashkimajinun kma wengine
Cha kuchekesha anawaambia wenziwe wanakula makombo. Makubwa haya jamani...😮
Cha kuchekesha anawaambia wenziwe wanakula makombo. Makubwa haya jamani...í-½í¸®
Haki y mama bi mkubwa anasura ngumu n domo sasa huyo kijana anapata shida wakti w romance
km upo ig nenda kwa dogi upate uhondo vizuri