Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,485
Network inashika then inakata cjui serengeti boy cjawasoma ovaa
Haaa!
We nawe usiwe mgumu kuelewa kama dai...mpaka aone mtoto anaongea kihaya.

Acha tu.Ndio Mange na misukule yake kujidai eti tunamjadili yeye tu.
Sijui hajioni kama ana damu ya kunguni? Mimi ananifurahishaga mara chache tu.
kama aliyebeba mimba ya baba mwingine kudhihirisha kwamba haogopi maradhi
hata kondomu za mia hawakutumia
zarina malaya mchafu tuu
Haaa!
We nawe usiwe mgumu kuelewa kama dai...mpaka aone mtoto anaongea kihaya.
Hahahahaaaa, hivi ule uzi wenye gazeti la Kimbambangala kwanini ulifutwa?
Ule ubuyu mtamu sijapata kuona!
Hahahahaaaa uwiiiii! Wewe mwanamke hufai!
Nimecheka balaa.
Network inashika then inakata cjui serengeti boy cjawasoma ovaa
mama daimond kaopoa dogodogo kwa jina la saleh so wametemana
ndo mama wa rummy kampigia simu shemeji yaks kumuombea amrudi mama dai
woyooi wakarekodiwa
hahaahhaaaa
Kumbe hapo bibie yuko sawa katafuta damu changa istoshe huyo kijana alikua n roho ngumu mana maza sura ngumu kma kala ukwaju.....pia nae ni binadamu ana ashkimajinun kma wengine
Duh unamwita mwanamke usiyemjua kuwa ni mchafu sasa umejuaje?
Naona anakukimbiza ni nini alichonacho umetokea kumchukia na umemjua alivyoanza kutoka na Diamond?
Duh hasira za nini? U ajua maneno yako sio ya kweli, angekuwa mchafu asingekuwa kwenye class aliyomo kwa mengi anayofanya duniani.
Kumbe hapo bibie yuko sawa katafuta damu changa istoshe huyo kijana alikua n roho ngumu mana maza sura ngumu kma kala ukwaju.....pia nae ni binadamu ana ashkimajinun kma wengine
ungejua nnavyompenda zari usingesema
na nimeanza kumjua kabla ht huyo daimond hajapanda ndege labda nkwambie
tena mie wema wala si shabiki wake ila penye ukweli tuseme jamani
hv zari watoto wa3 baba mmoja kaona haitoshi kenda kutibua mshono kuchanganya mababa
wanawake wenzie wanaomba wazae watoto wa mzazi mmojw ye ndo kwanza kajibebesha mimba
na leo nimeamua kuongea maana nimeona mnaponda sana wema km hajazaliwa na mwanamke au km aliokotwa vile mtoto wa mwanamke wa watu
watu wanapata wapi ujasiri wa kumwita wema malaya wakati hana ht mtoto mmoja wakati zari aliolewa for 12yrs leo kaona haitoshi kenda beba mimba y mtoto mdogoo
angekua ndo wema mngemtetea
mimi sina double std jamani wala unafki penye ukweli tuseme
zari nakupenda sana ila acha uchafu umalaya wa zari wa kianalojia kabisaaa

Wivu wivu baalaa tu embu muulize mama yako kama una ujasili nani baba yako?
Waacheni na maisha yao huo ubuyu haukusaidii chochote... Huyo mama ubaya mbona hatujasikia hata kusingiziwa?
kitanda hakizai haramu?ngoja siku we mndengereko uletewa mchina kama hujageuka samurai ghafla moja!Kitanda hakizai haramu mkuu