Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Hyo ndo habari ya mjini ya mama na Serengeti boy ake ama kweli wonders shall never end indeed. Huyu jimama hana issue atafta kiki nyingine ile ilikua ya white party.
Sasa naona na mama MTU wanapishana na mwanae kwenye Ku make headlines.
Hahahahaaa, ila ya mama ni kiboko aisee.Sibiri jana nilimrequest shangaziyakemati akinikubalia tu napiga screen shots naleta huku.Maana nasikia ubuyu unaendekea kule kwake.
Hatariiiiiii.