Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Swali zuri Mkuu, utakuka assistance commissioner wa polisi kakutana na captain Nani atampigia salute mwenzake, maana kila jeshi na vyeo vyake. Magereza hajui muundo wa jwtz na jwtz hajui polisi watajuaje Huyu kanizidi cheoSwali langu ni wanatambuaje fulani ni mkubwa, mfano kapteni wa nyota tatu jeshini, kina nani a polisi wanampigia saluti?? Na kapteni huyo kwa polisi ni cheo gani??
Utakuwa polisi wewe si bure military commission officer will salute only commission officer. And it's depend on date of commissionHumpigia..... Katika jeshi ni ranks ndizo zinazoangaliwa. Yote hayo ni majeshi mkuu na nidhamu ya jeshi iko pale pale. Na siyo lazima awe IGP hata police mwingine aliyejuu ya askari wa JWTZ atapigiwa salute tu.
unajua hii nchi ina commissioned wangapi???Utakuwa polisi wewe si bure military commission officer will salute only commission officer. And it's depend on date of commission
Labda awe rafiki yako, lakini wanakuwa wababe wakivaa uniform zao. Wewe jaribu siku 1 uharibikiwe na chombo maeneo yao. Usije kushangaa ukaambiwa ukipakie begani. Ata polisi nao wapo walioko peace na wapo wengine ambao wanasumbua sana, yani akishakuona huna kosa, basi anaweza ata akakubambikia kosa. Vikosi vyote in one way or another vina disrespect raia kwa mambo madogo sana.mara nyingi inakuaga ni mikwara tu..wanachokuambia we fanya wanakuachia hawanaga shida wale jamaa,,ukiish nao utawajua vizuri watu peace sana tofauti na polisi..
Hivi kuna rankings ambazo zina cut across majeshi yote?Kwa maana hiyo, hata wa JWTZ humpigia salute askari wa jeshi lingine lolote liwe police, magereza nk, kinacho matter ni kuzidiana RANKS za kijeshi.
Looohh!!! Ndugu, una wasiwasi kwamba sizijui???Ranks za kijeshi unazijua?
Anampigia vizuri kabisa,tena sio paka awe igp but yeyote aliemzidi cheoJinsi walivo wababe, sijui kama JWTZ wa chini atampigia salute IGP.
TPDF wote ranks zao zinakwenda sawa, yaani wote wa JWTZ (Air, Navy na Infantry) including JKT maana wengi huwa wanafikiri JKT si TPDF, hawa wakiwa chini ya wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (chini ya Waziri Hussein Mwinyi).Hivi kuna rankings ambazo zina cut across majeshi yote?
Atampigia kulingana na cheo cha huyo Mwanajeshi. Ila Kama non commissioner lazima ampigie salute IGPJinsi walivo wababe, sijui kama JWTZ wa chini atampigia salute IGP.
Andika neno ranks za kijeshi kwa kiingereza uone kama unazijua au huzijui.Looohh!!! Ndugu, una wasiwasi kwamba sizijui???
Swali langu lilitaka kufahamu rankings cutting across JWTZ, Magereza na Polisi. Koplo wa JWTZ na Koplo wa Magereza ni sawa? Na mwana JWTZ wa rank ya chini anaweza kumpa saluti m-Magereza wa rank ya juu?TPDF wote ranks zao zinakwenda sawa, yaani wote wa JWTZ (Air, Navy na Infantry) including JKT maana wengi huwa wanafikiri JKT si TPDF, hawa wakiwa chini ya wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (chini ya Waziri Hussein Mwinyi).
Kwa upande mwingine majeshi yaliyo katika wizara ya mambo ya ndani, yaani Police, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto (chini ya Waziri Mwigulu Mchemba), nao kwa upande wao ranks zao zinaenda sawa.
Salute kwa askari sio legal obligation bali ni moral obligationAkimchukulia hatua,huyo askar anayegoma kupiga salute anafukuzwa.
Hiyo post nilikuja ku edit nikaongezea kwamba ranks za kundi la kwanza haziendi sawa na zile za kundi la pili. Yaani Kopolo wa TPDF si sawa na kopolo wa polisi. Nyota tatu za polisi siyo sawa na nyota tatu za JWTZ.Swali langu lilitaka kufahamu rankings cutting across JWTZ, Magereza na Polisi. Koplo wa JWTZ na Koplo wa Magereza ni sawa? Na mwana JWTZ wa rank ya chini anaweza kumpa saluti m-Magereza wa rank ya juu?
Polisi kuanzia nyota tatu ndio commission.Nilikuwa nawasoma nijue comment zenu. Huu sasa ndo ukweli:
Vyeo vya jeshi utavitambua kwa njia mbalimbali mfano sare zao za jeshi. Mwanajeshi anayeruhusiwa kuvaa suti za jeshi ni maofisa tu Yaani warranty officer class 2 kwenda mbele Yaani afisa mteule daraja LA pili hadi general
![]()
Jeshini kuna commissioner na non commissioner. wanajeshi wote wa jwtz walio na nyota ni commissioner .
Wasio na nyota ni non commissioner.
Cheo cha Kamishna wa jwtz na polisi upewa na Rais, Inshort polisi na jwtz ambao wanaanzia nyota moja ni makamishna.
kwahiyo wanajeshi ambao ni non commissioned uwapigia salute polisi kuanzia cheo cha assistance commissioner of police(polisi nyota moja/msaidizi wa kamishna wa polisi).
Ajira tz ni tatizo.ivi inakuaje mpaka mtu unakua askari?
Mkuu, sijajua league unayotaka tuicheze ni ipi. OK ndugu sizijui.Andika neno ranks za kijeshi kwa kiingereza uone kama unazijua au huzijui.
Yeah kamanda nmesha editPolisi kuanzia nyota tatu ndio commission.