Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,541
- 30,095
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......
Jaribu kutembelea hawa jamaa wanaeleza mambo mengi....https://www.facebook.com/illuminatidecoded?fref=tsWapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......
ndio maana waafrica hasa watanzania tuna kufa maskini.
Kama kibwetere vile kule Uganda siyo? Hapana, kwa wale wanaoamini maandiko matakatifu kwa mfano, wanafanya scrutiny ila si kama ile ambayo wewe unataka wafanye!
Je nguruwe, soda ya Coce na sungura ni haramu?
The question remains.
You can't have half assed scrutiny.
Even the bible said the lord does not like those who are lukewarm, he will vomit them out. One has to be either hot or cold.
Same goes for acrutiny, you either embrace full scrutiny or you shun it completely.
Any effort at a cherry picking half step is an exercise in obscurantism.
Hizi hofu munazopandikizwa na viongozi/wahubiri wachumia tumbo ndiyo mtaji wao wa kuendelea ku syphon vijisenti vyenu mnavyovipata kwa taabu, huku arusha kuna redio safina, kazi yake kuu ni kumuhubiri jini mahaba na kuwaaminisha wajinga kuwa hilo ndilo linalosababisha matatizo yao yoote hadi yale ya kiuchumi, na hapo hapo wanaitisha mikutano na makongamano siku za kazi kuwatoa watu jini mahaba, bila kujali kuwa muda huo wa kazi ndiyo watu wangeutumia kuondokana na umasikini, hata wauza madawa ya julevya pia wanafurahia ujinga wa hadithi za freemason ili tusihoji kuhusu utajiri wao wa chapchap kwa kuamini tu kuwa ni freemason ndiyo wanagawia watu hela, mwenye imani angefundishwa kuvitakasa vyooote vyenye mashaka badala ya kufundishwa kuviogopa.
There you are, at least now you are getting better. What does the bold statement in you post infer? Scrutiny? No scrutiny, no knowledge!
That implies those who claim to draw from biblical authority have a tough decision to either embrace scrutiny wholly, or shun it completely.
They cannot be lukewarm about it.
For even the lord is purported to detest the fence sitting chameleonlike nature that this cherry picking half step represents.
Don't they abide by the word?
Wasn't it written that every word of the good book is good for instruction?
The good thing ambacho huwa unanifurahisha ni kwamba huwa unaanzisha queries ambazo huwa hatimaye unakuja unajijibu mwenyewe kwa statement za maswali. Swala la kwamba pengine kuna statement zinaoingana kwenye Biblia hapa siyo issue of focus, ila focus yetu ni je, kwenye Biblia kuna knowledge ambayo ina-qualify kumfanya mtu aamini through scrutiny? Issue ya means of scrutiny haimuhusu yule ambaye siyo believer, the very day you'll become a believer ndiyo itakuja kukuhusu. Kwa hiyo watu wanazo sababu za msingi za kuamini, whether wanaamini kwamba Mungu yupo au hayupo, that is another issue. Issue ya msingi hapa tulikuwa tunajaribu kutafuta kama uhalali wa mtu kuamini upo!
Ndio nembo yenyewe hiyo?Hizo 666 ziko wapi?mbona sijaziona,nisaidie kuzitambua mkuu!
Mkiwa na akili hiyo mwisho wa siku mtaambiwa jf pia kuna ushetani.
ulichoulizwa sio ulichojibu. ila ubarikiwe sana kwa ufahamu wako.Haramu kwa mujibu wa nani?
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......