elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
Sasa huyo Shetani au huo ushetani wa Google Chrome ume kuaffect nini labda katika kumtafuta Mungu...
Na je ukiambiwa Mozila,explorer,Opera,Ucbrowser n.k zote zina alama za shetani utaacha kabisa na kuingia JF.
human stupidity is infinity - Einstein
unaamini kipi, kwa unachokiona ua husichokiona???Duh! Kasheshe! yaani wewe u binadamu mwenye nafsi na mwili kisha unadai hakuna Shetani? Si ajabu wewe kusema hakuna Mungu. kumbuka Mungu ni Roho na hata Shetani ni roho. hawaonekani kwa macho.
Je nguruwe, soda ya Coce na sungura ni haramu?Unajua hii ni sawa na mtu leo aje akwambie kwamba maziwa ni sumu. Kama unajua kwamba maziwa ni sumu na yanaua, na wewe umekua ukitumia maziwa kwa muda mrefu bila kujua kwamba ni sumu, kisha akaja mtu akakwambia kwamba maziwa ni sumu, na wewe ukaacha kutumia bila kuangalia yamekuathiri vipi (Kama kweli ni sumu) itakua si busara.
Kama mleta uzi anajua madhara ya 666 na amekua akitumia google chrome bila kupata madhara ya hiyo 666 matokeo yke anakuja mbio kutoa tetesi za 666, nashindwa kuendelea na maelezo ya kuelezea hiyo hali.
Haramu kwa mujibu wa nani?Je nguruwe, soda ya Coce na sungura ni haramu?
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......
better we do no the hidden secret of satan "ukitaka vuka barabara wewe funga macho kisha vukaStupidity is a gift of God, but one must'nt misuse it Pope John Paul
Ukiambiwa microchips zote zina alama ya 666 utaacha kutumia electronics zote zenye microchips?
Hakuna ushahidi kwamba kuna mungu wala shetani.
Mengine yote ni details.
Imani "is not transferable by means of provable ushahidi", unless ni science. Imani ni pure transferable by imani, otherwise ushahidi ukiwa nao, unakuwa nao as an individual na unakuwa pia huna means za ku-uprove kwa mwingine, utaendelea kubaki nao wewe,...., meaning that imani is highlly linked to spritual knowledge which (the latter), can only be revealed and not found!
Ulichoelezea hapo kama imani hakiwezi kuwa any type of knowledge.
The whole "spiritual knowledge" hogwash is a thinly veiled attempt at avoiding scrutiny.
Hakuna school of thought inayosema kwamba the only reliable and acceptable knowledge is only through scrutiny. Jaribu kusoma vizuri philosophy of education itakupanua vizuri zaidi kuhusu hili! Unachoweza kufanya ni wewe mwenyewe kujiridhisha kuwa njia hii ya kutafuta knowledge ndiyo inayonifaa na ndiyo ninayopendelea. lakini hii haimaanishi kuwa ukichagua moja unayo-iprefer wewe, zingine zinakuwa invalid, hapana, bado zinaendelea kuwa valid, hata kwako pia wewe uliyeziona kuwa hazifai!
There is no knowledge without scrutiny.
How do you know that you know without reflection?
What is reflection if not scrutiny?
You are right, nilijua utasema hivyo.Hakuna school of thought ambayo inasema kwamba valid knowledge ni ile tu ambayo iko subject to scrutiny kutumia nstruments ambazo knowledge seeker anaamua tu kuzitumia, hata kama hazihusiani na discipline hiyo! Kila discipline iko subject to scrutiny by using instruments which are relevent in that particular discipline. Ndiyo maana huwa nasisitiza siku zote nasema kwenye pseudo-science huwezi ukatumia instruments za emperical science and vice versa. Tatizo wewe unachanganya tiba, unataka tiba ya ukoma ndiyo hiyo hiyo iwe tiba ya kansa, kwa sababu wagonjwa wake wote wana vidonda, which is very wrong!
Imani by definition hairuhusu scrutiny.
Perfect faith is supposed to accept, any analysis and scrutiny moves away from perfect faith and towards scientific inquiry.