King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......
We unaamini kama duniani kuna shetani ?
Duh! Kasheshe! yaani wewe u binadamu mwenye nafsi na mwili kisha unadai hakuna Shetani? Si ajabu wewe kusema hakuna Mungu. kumbuka Mungu ni Roho na hata Shetani ni roho. hawaonekani kwa macho.

jamaa hajasema kama anaamini au haamini uwepo wa shetani ila amekuuliza wewe unaamini uwepo wa shetani?
Sasa unashangaa nini, **na*amini uwepo wa Mungu na shetani pia **naamini kuwa shetani anacontrol dunia. Maadamu unaishi kubaliana na hayo vinginevyo fanya mpango u R.I.P faster.
Nimefanya correction ya sentensi yako hapo juu!