Mkuu marejesho , vipi kilimo cha hoho, ulifanikiwa? nami nataka kulima hoho. ila ni beginner kabisa kwenye kilimo, naomba unipe uzoefu wako katika zao hili. Nipo maeneo ya Dar. Najipanga kutafuta shamba pembezoni mwa Dar. Ahsante
sh 6000-8000Kilo moja ya kitunguu swaumu ni shilingi ngapi sokoni
Mbegu kanunue mashamban wanakolima coz za sokon huwa hazioti, kuhusu gharama inategemeana sehem uliopoJamani naomba mtu ambaye ameshalima kitunguu swaumu snipe ABC zake!!! Km Wapi ananunulia mbegu bora. Madawa yanayotumika, hatua za uupandaji mpk kuvunA, vitu vya kuzingatia ktk hiki kilimo, heka moja inaweza gharimu kiasi gani? Na hiyo heka inaingia mbegu kiasi gani?!!! Ntashukuru kwa Masada wenu
Nimependa hata mimi nahitaji mbegu kwa hekari moja tu, naomba utaratibu mzima wa upandaji hadi kuvunaNdo bei yake. Ila najiuliza kwanin watu wengi hawalimi? Sijaona mchanganuo wake humu. Mungu akisaidia nilipanga mwakani nilime hili zao. Sahivi nakusanya ABC za hii biashara
Ekari moja inahitaji around kg 500 ya mbegu. Andaa shamba kwa kutengeneza bustani ambazo ziko flat kwa urahisi wa kumwagilia.Miezi ya kupanda ni miezi ambayo mvua imepungua kuanzia mwezi wa 2-4 inategemeana sehemu ulioko..kuna wazoefu nahisi wao wataongeza, ahsanteNimependa hata mimi nahitaji mbegu kwa hekari moja tu, naomba utaratibu mzima wa upandaji hadi kuvuna
Swala la soko ni tatizo la kitaifa kiongozi..ila nimekuja kuona watu wanataka faida ya haraka na kubwa sana ukitumia m 2kutunza Shamba ukiuza magunia 70 ata kwa 55000 faida inarudi 1.8m..ila wakulima wa mjini wanataka milioni 5 faida ndomana wanalalamika soko hamna.na kupata soko unahitaji Ku hustle usafirishe na watu wengi hawana kipato cha kusafirishaKabla hata hamjaenda kote huko mngeanza na jinsi ya kupata masoko. Vitunguu viko vingi sana mtaani, na wakulima wameitikia mwito kwa kiwango cha kuridhisha. Kabla hamjawapeleka wengine mashamba ni, tatueni hili la masoko ya uhakika. Na ikiwezekana, msitoe tu mwongozo, mtoe masoko.