ogm12000
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 304
- 86
Mighorofa yenyewe si ndiyo inaporomoka yenyewe na mingine inalaliana,sijui wameshalibomoa au usanii tu unaendelea!kweli hii nchi ni majanga tu kila kona .
Usanii tu bongo, huzuni mtupu.
Mighorofa yenyewe si ndiyo inaporomoka yenyewe na mingine inalaliana,sijui wameshalibomoa au usanii tu unaendelea!kweli hii nchi ni majanga tu kila kona .
Mkuu uaminifu ukishapotea kuurudisha taabu sana sijui lbd tumuombe Mungu atusaidie ktk hili. Ukisafiri na hii passport yetu balaa unapekuliwa kama mwizi vile.Kinachoniuma mimi zaidi ni jinsi Watanzania tunavyopekuliwa kama majambazi sugu pale tunapojulikana kwamba sisi ni Watanzania. Image ya nchi na raia wake kwa kweli imekuwa chafu kupita kiasi. Mtu mpaka unafika mahali unaogopa kujitaja kwamba wewe ni Mtanzania. Laiti JK angekuwa proactive na kuchukua hatua mapema pale alipopewa majina inawezekana hali isingekuwa hivi kwa sasa.
Hope hii vita itafanikiwa ili kuisadia kurudisha heshima ya nchi na watu wake.
Tiba
Haya yoteyanatokea TZ tu, Ee Mungu tusaidie . Najiuliza huyo kiongozi ajaye atakua na kazi kubwa ya kutengeza nchi hii maana kila sekta inahitaji marekebisho.Lakini sio madawa tu, sekta zingine zote bongo zimeoza kuna rushwa na 'madili' kila mahala, mpaka tutakapoondoa serikali ya kishkaji ndio hali itakuwa sawa, madawa ni sehemu moja tu. Watu wanaiba twiga kwa ndege!
Kinachoniuma mimi zaidi ni jinsi Watanzania tunavyopekuliwa kama majambazi sugu pale tunapojulikana kwamba sisi ni Watanzania. Image ya nchi na raia wake kwa kweli imekuwa chafu kupita kiasi. Mtu mpaka unafika mahali unaogopa kujitaja kwamba wewe ni Mtanzania. Laiti JK angekuwa proactive na kuchukua hatua mapema pale alipopewa majina inawezekana hali isingekuwa hivi kwa sasa.
Hope hii vita itafanikiwa ili kuisadia kurudisha heshima ya nchi na watu wake.
Tiba
yaana we acha tu wazungu wa unga wametuchafua sana. Juzi kati tulisimamishwa mimi na mnigeria na mapolisi wa doria baada ya kuomba vitamburisho vyetu kujua mimi ni mtanzania nilisachiwa mpaka basi. Yaana siku hizi hatujitambulishi kama zamani. Ukijitambulisha unaangaliwa mala mbilimbili.Kinachoniuma mimi zaidi ni jinsi Watanzania tunavyopekuliwa kama majambazi sugu pale tunapojulikana kwamba sisi ni Watanzania. Image ya nchi na raia wake kwa kweli imekuwa chafu kupita kiasi. Mtu mpaka unafika mahali unaogopa kujitaja kwamba wewe ni Mtanzania. Laiti JK angekuwa proactive na kuchukua hatua mapema pale alipopewa majina inawezekana hali isingekuwa hivi kwa sasa.
Hope hii vita itafanikiwa ili kuisadia kurudisha heshima ya nchi na watu wake.
Tiba
...haya maunga yametuharibia nchi kweli, maana watu hata ada za nursary schools mamilioni, watu wanalipa tu kama mchezo looh...
TRA wanafatilia hawa? au wanafatilia watu wanaojitahidi kufanya kazi zao kihalali tu? Hili ni jambo TRA na vyombo vya usalama vinahusika sana
Na mtu analipa hiyo milioni bila uwoga kwani anajuwa ataendelea kuua tu ili pesa zisiishe na watoto wake waeendelee kusoma. Kuna mdada huku kwetu anajifanya kuokoka baada ya kujuwa mumewe anaua watu kwa bishara ya unga. Cha kushangaza kila kukicha yuko mitandaoni kujionyesha kwa kuwaringishia wanyonge wake, sasa najiuliza ameokoka kivipi huku akijuwa pesa anazopata ni kwa ajili ya unga?
Siku nyingi nilikuwa najiuliza hawa Watanzania wenzangu wanapata wapi pesa za kutesa namna hii? Nilikuwa nashangaa nikitoka out usiku nikiwa nimejidundulizia vipesa vya mtoko kwa zaidi ya miezi sita tena kwa kujibana ajabu, cha kushangaza naenda kujionea jinsi watu wanavyojirusha kwa ufahari wa hali ya juu. Matumizi yao ni kufuru, magari waliyopaki nje ya kumbi za starehe ni ya gharama nisiyoweza kuifikiria! Bei ya mavazi waliyovaa ndio usiseme.
Nikifikiria elimu ya watoto wangu, uwiii nachanganyikiwa! mbona wa TZ wenzangu wanapeleka watoto wao kwenye mashule ya gharama ambazo mimi niliziona kama kufuru! mmmh kwani hawa wenzangu wanapata wapi hayo manoti yote? mbona mie siyapati? kama ni mshahara huu huu tena kuna wengine nawazidi mshahara, kama ni bajeti; sidhani kuna anayenifikia kwa kujua kubana matumizi. Kama ni biashara ... mmmh sijaona ya kuwafanya watu wawe hivi... sana sana naona mabutiki yanafunguliwa tuuuuuu na hayana wateja... mashoo room yamesambaaa kila kona sioni wanunuzi, labda biashara ya mabar na glossary naweza sema yanalipa. sasa inakuwaje? Loooh nimeanza kufunguka sasa kumbe wengi wao walikuwa wanashiriki kwa namna moja au nyingine kwenye hii biashara ya DAWA!
Biashara iliyopandisha maisha ya Watz kuwa ya juu na kutengeneza matabaka maana imetufanya wengine tuonekane kama hatujui kutafuta pesa na hatujui mipango... Looo umefika wakati wao wa kuumbuka sasa.... naanza kuona dalili za kukosekana kwa wateja kwenye mabaa na maclub, magari ya kifahari kupungua barabarani, makanisani, masherehe na sehemu mbalimbali za starehe! mmmmmm naendelea kusikilizia majina yanayotajwa huko kwenye ushiriki wa madawa! mboni mambo!! masikio yanaanza kuwasha maana tutasikia hata tusiyoyatarajia.....
WaTz kiboko! hadi mnakodi meli??? du kumbe nchi hii imeshaoza eeeeeeeh! Ona hospitali zinavyojaa waathirika wa madawa, cheki vituoni ujionee mateja yanavyonesa ..... balaa hili.
EEE MUNGU WAUMBUE WOTE NA BIASHARA HII IFE KIFO CHA MENDE, WATOTO WETU WAPONE; AMENI.
yaana we acha tu wazungu wa unga wametuchafua sana. Juzi kati tulisimamishwa mimi na mnigeria na mapolisi wa doria baada ya kuomba vitamburisho vyetu kujua mimi ni mtanzania nilisachiwa mpaka basi. Yaana siku hizi hatujitambulishi kama zamani. Ukijitambulisha unaangaliwa mala mbilimbili.
mi mwenyewe nishaumiza kichwa sana,kila nikijitahidi kusaka chambi naambulia kupata za kununulia kilo mbili za nyamba tu kwa wiki,imefika kipindi nimeweka ratiba kwangu nyama ni jumatano na jumapili tu.kila nikipiga hesabu za kutoka sipati huku ni kicheki vijana wenzangu kitaa wakifanya kufuru,yaani wao ulaya kla chooni vile,ukikaa nao kupiga stori utasikia wakichambua majiji ya wenzetu,mara venice,mara paris hakuna sehemu nzuri za kujinafasi,mara jumatatu nitaondoka kwa emirates kuelekea brazil,yaani nashindwa hata kuingiza stori zetu za mbagala,mazense etc etc,.nilikuwa kishishangaa sana,vijana wadogo sana,wamekuwa nikiwaona,hata kumaliza kwao form 4 ilikuwa shida,wamepotea ndani ya miaka 3 wamerudi na chambi balaa,yaani mpaka ni kawa najiona kinyaa,kwamba mimi ----- sijui kutafuta pesa wakati watoto wadogo wanazishika kiulani.------- ZAO,KUMBE MAPUNDA TU,KAZI YAO KUBEBESHWA MIZIGO.WASHENZI WAKUBWA,Siku nyingi nilikuwa najiuliza hawa Watanzania wenzangu wanapata wapi pesa za kutesa namna hii? Nilikuwa nashangaa nikitoka out usiku nikiwa nimejidundulizia vipesa vya mtoko kwa zaidi ya miezi sita tena kwa kujibana ajabu, cha kushangaza naenda kujionea jinsi watu wanavyojirusha kwa ufahari wa hali ya juu. Matumizi yao ni kufuru, magari waliyopaki nje ya kumbi za starehe ni ya gharama nisiyoweza kuifikiria! Bei ya mavazi waliyovaa ndio usiseme.
Nikifikiria elimu ya watoto wangu, uwiii nachanganyikiwa! mbona wa TZ wenzangu wanapeleka watoto wao kwenye mashule ya gharama ambazo mimi niliziona kama kufuru! mmmh kwani hawa wenzangu wanapata wapi hayo manoti yote? mbona mie siyapati? kama ni mshahara huu huu tena kuna wengine nawazidi mshahara, kama ni bajeti; sidhani kuna anayenifikia kwa kujua kubana matumizi. Kama ni biashara ... mmmh sijaona ya kuwafanya watu wawe hivi... sana sana naona mabutiki yanafunguliwa tuuuuuu na hayana wateja... mashoo room yamesambaaa kila kona sioni wanunuzi, labda biashara ya mabar na glossary naweza sema yanalipa. sasa inakuwaje? Loooh nimeanza kufunguka sasa kumbe wengi wao walikuwa wanashiriki kwa namna moja au nyingine kwenye hii biashara ya DAWA!
Biashara iliyopandisha maisha ya Watz kuwa ya juu na kutengeneza matabaka maana imetufanya wengine tuonekane kama hatujui kutafuta pesa na hatujui mipango... Looo umefika wakati wao wa kuumbuka sasa.... naanza kuona dalili za kukosekana kwa wateja kwenye mabaa na maclub, magari ya kifahari kupungua barabarani, makanisani, masherehe na sehemu mbalimbali za starehe! mmmmmm naendelea kusikilizia majina yanayotajwa huko kwenye ushiriki wa madawa! mboni mambo!! masikio yanaanza kuwasha maana tutasikia hata tusiyoyatarajia.....
WaTz kiboko! hadi mnakodi meli??? du kumbe nchi hii imeshaoza eeeeeeeh! Ona hospitali zinavyojaa waathirika wa madawa, cheki vituoni ujionee mateja yanavyonesa ..... balaa hili.
EEE MUNGU WAUMBUE WOTE NA BIASHARA HII IFE KIFO CHA MENDE, WATOTO WETU WAPONE; AMENI.
yaana we acha tu wazungu wa unga wametuchafua sana. Juzi kati tulisimamishwa mimi na mnigeria na mapolisi wa doria baada ya kuomba vitamburisho vyetu kujua mimi ni mtanzania nilisachiwa mpaka basi. Yaana siku hizi hatujitambulishi kama zamani. Ukijitambulisha unaangaliwa mala mbilimbili.[/QUOTE
Watanzania tulikuwa na sifa ya kupendwa na kuaminiwa sehemu nyingi duniani. Sasa hivi tunaonekana kama vinyago, hatufai kwa jua wala kwa mvua! tunafanya biashara haramu ambayo ni mbaya hata kwa vizazi vyetu! kuanzia viongozi hadi walala hoi...... heshima imepotea
Kodi za nyumba sinza zitapungua sana,maana mabinti walikua wanapangishiwa na mapedeshee wauza unga bila kujali
mi mwenyewe nishaumiza kichwa sana,kila nikijitahidi kusaka chambi naambulia kupata za kununulia kilo mbili za nyamba tu kwa wiki,imefika kipindi nimeweka ratiba kwangu nyama ni jumatano na jumapili tu.kila nikipiga hesabu za kutoka sipati huku ni kicheki vijana wenzangu kitaa wakifanya kufuru,yaani wao ulaya kla chooni vile,ukikaa nao kupiga stori utasikia wakichambua majiji ya wenzetu,mara venice,mara paris hakuna sehemu nzuri za kujinafasi,mara jumatatu nitaondoka kwa emirates kuelekea brazil,yaani nashindwa hata kuingiza stori zetu za mbagala,mazense etc etc,.nilikuwa kishishangaa sana,vijana wadogo sana,wamekuwa nikiwaona,hata kumaliza kwao form 4 ilikuwa shida,wamepotea ndani ya miaka 3 wamerudi na chambi balaa,yaani mpaka ni kawa najiona kinyaa,kwamba mimi ----- sijui kutafuta pesa wakati watoto wadogo wanazishika kiulani.------- ZAO,KUMBE MAPUNDA TU,KAZI YAO KUBEBESHWA MIZIGO.WASHENZI WAKUBWA,
labda mpaka atoke madarakani