happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
- Thread starter
- #101
Bora wauza sembe wamalizwe Tu jameni. Nakumbuka Kuna pedeshee mmoja muuza unga alimtokea wife wangu na kumuahidi kumpa nyumba na gari za kifahari then wahamie bondeni kwa madiba eti anitelekeze. Nilipomfuatilia jamaa nikagundua Ni muuza sembe. Nilichomfanyia siwezi kusema hapa ila siku hizi kila akiniona ananiamkia shikamoo bro.
Pole sana rafiki, unajua huu unga/madawa yameshaleta madhara mengi sana ikiwa ni pamoja na kuvunja ndoa za watu, kupoteza uhai wa binadamu wasio na hatia na mengine mengi sana ..... ninachojiuliza hivi watanzania hatujui/hatuyaoni madhara ya unga???? mbona tuko kimya tuuuuuuu tena imekuwa kama sifa fulani mtu akijulikana drug dealer? mmmmh jamani mi nachoka kabisa