Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,730
- 29,265
Ndio maana mkaitwa wanyonge. Mnafikiri ni sifa nzuri?Wacha wafanye wanavyotaka sisi watanzania tunamwachia Mungu Muumba mbingu na nchi najua anaona kila kitu, haya yote yataisha kama si leo kesho ufumbuzi utapatikana.
Kutwa kucha kulalamika, vitendo 0.