Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Hivi nani kaunda bokoharam,alishababu,nk

Kawaulize wao.....Unatuuliza sisi kwani humu kuna mwanachama wa hayo makundi? Vinginevyo utakuwa wewe ndo umeanzisha ama baba yako mzazi.........!
 
Kwani hizo hospital zenu tunatibiwa bure au shule zenu tunasoma bure Kanisa linafanya biashara kama hospital zingine Agha Khan, TMJ, Hindu Mandal.

Hizo Bilioni 61.9 mnazopewa na serikali zinaweza kujenga hospital mbili kubwa kila mwaka na shule.

Hiyo MOU ifutwe mara moja hata kesho haina faida yeyote kwa mwananchi zaidi ya kulinufaisha Kanisa.

Wewe ni mtu mdogo sana bro mbele ya Kanisa katoliki . Ule ni Utawala mwingine . Tulia uone msimamo wake wala hawaji JF ila matokeo unayaona tu kwa matendo .
 
Usiame kwenye mada Angalikana siyo Wakirsto? Wakirsto wapo wengi tu Ulaya na Marekani wanaruhusu USHOGA unataka kuwafuta hata hao Katoliki wameomba msamaha baada ya Makasisi wao kuwalawiti wototo na hii unapinga wewe punguani wahed.

Wanaruhusu mashoga ndiyo maisha yao na si wakristo wengine Duniani . Mbona waislam wanakimbilia kuishi huko ? Kila siku nenda kwenye balozi zao utakuta misururu ya waislam wanakimbilia huko kwa shule , na hata kuzamia na matatibabu , hawajui haya madai yako ? Vatican in Balozi hadi UN bro unapiga kelele za bure
 
Ukiangalia vyema hilo tangazo limetolewa na jeshi la polisi likiwa na backup ya rb ya polisi.

so to say that mahakama hizo za kanisa zinatambuliwa kisheria kwann mahakma za kadhi zisitambuliwe na sheria za jamhuri ya muungano Wa tanzania?

Tunaomba hiyo Sheria inayotambua Mahakama za Kanisa!
 
Tunaomba hiyo Sheria inayotambua Mahakama za Kanisa!

We usiwe kilaza. Sheria ya nini unaitaka? We anzisha mahakama yako tu huko mtaani kisha nenda polisi uombe wakutolee tangazo kwamba kuna mtu unamuhitaji aje kujibu mashtaka kwenye mahakama yako uone kama tangazo hilo litatolewa. Usiwe mbumbumbu. Ukiuona ukweli kubali tu acha kupindisha........
 
Safi sana, hiki ndio kitu ambacho wenzetu waislamu wanataka kifanywe na serikali!
Hongera sana Kanisa Katoliki kwa kuonyesha kuwa dini yoyote ikijipanga inaweza kufanya mambo yake ya usuluhishi, mahakama, kufungsha ndoa bila kutubebesha watnzania mzigo wa kodi.

Mahakama ya kadhi waislamu wengi wala hawajui ni kitu gani kimelengwa.
Ila nahisi kuingiza mahakama ya ksdhi kwenye katiba ni kuelekea kuvurugana kiinchi kama tuijuavyo Tanzania.
Wenzetu waislamu hawana utamaduni wa amani katika kufikia maamuzi na makubaliano .
Kama kuna mfano hai ni yale yanayoendelea duniani kwa sasa.
Kuingiza mahakama hii kwenye katiba ni kukaribisha kuichan chana maana watakuja answar sunni, sunni, shia na milengo mbali mbali ya dini hiyo ya kiislamu.

Wangekuwa na umoja unaoonekana wangeunda mahakama yao wenyewe na kuiendesha.
Hili la kutaka matatizo yao yaingilie katiba ni kukaribisha vurugu nchini.

Wewe na wachangiaji wote waliotetea mahakama ya kanisa inagharamiwa na kanisa ni waongo. Hakuna ushahidi usio na shaka waliouleta.
Mimi nitoe ushahidi kidogo tu. Hilo tangazo limetolewa na polisi. Je kanisa lina polisi wake? Jibu ni hapana...Wametumia jeshi la polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....! In maana kuna gharama pale....Ni nani amelipa gharama za polisi kushughulika kesi hiyo ya ndoa? Polisi aliyeandika RB kwenye mshahara wake wata u-"apportion" part ya huo mshahara kiasi ulipwe na serikali na kiasi ulipwe na kanisa? Maana alishughulikia masuala ya dini ambayo tumesema yasigharamiwe na serikali......! Si ndiyo jamani?
Nije kwenye mahakama ya kadhi. Huwa haitumii jeshi la polisi!!!! Unaletewa barua ya kawaida tu kuitwa kwenye wito wa mahakama ya kadhi. Wenzetu wanatumia serikali!!!! Ni nani anayegharamia administrative expenses za mahakama ya kanisa....?
Kwa hiyo kwa kuwa makahama ya kanisa inatambuliwa na serikali kunavurugu zozote zimeshatokea ama ni kwa mahakama ya kadhi tu?????
Katiba inaitambua mahakama ya kanisa ndo maana polisi wanatumika. maana yake kama mtu atakaidi wito kwenye RB hapo juu maana yake polisi watamkamata kwa nguvu na kumpeleka mahakamani (huko kanisani). Na atawekwa mahabusi gani?
Mbona mahakama ya kanisa inatambulika na serikali je katiba imeshachanwachanwa? Maana umesema watakuja answar sunna, sunni nk. kwa hiyo ni vurugu....! Mbona hatujaona KKKT, Wasabato, Anglican nao wametaka mahakama ya kanisa? Kumeshatokea vurugu? Tafakari sana acha chuki za kidini wewe.....
 
poleni sana mliochangia mada hii maana hakuna hata mmoja aliyehoji mahakama hiyo ya kanisa inagharamiwa na nani? Sanasana kuna waliosema inaendeshwa na kanisa lenyewe......wamepata wapi ushahidi kwamba kanisa ndo linagharamia mahakama hii ya kanisa? Huu ni uzushi ama kuongea kwa kujitetea......
Wengi wanasema masuala ya kidini waachiwe waumini wenyewe lakini wamesahau ddh ni hospitali za kanisa lakini zinagharamiwa na serikali. Kama serikali haina dini imekuwaje igharamie hospitali? Watakuja wakristo wenye msimamo mkali watafafanua eti kwa sababu serikali ilishindwa kujenga hizo hospitali lakini kanisa likajenga ndo maana serikali inasaidia kuziendesha....eti ndo hoja watakayokuja nayo! Waambieni mmesema masuala ya kidini waachiwe waumini wenyewe.....! Kanuni hiyo haibadiliki hata kama serikali ilishindwa kujenga hospitali.......si masuala ya dini mmesema waachiwe waumini wenyewe? Na serikali si haina dini? Vije leo kwenye hili la hospitali serikali inahusika?
Narudi kwenye mahakama ya kadhi na mahakama ya kanisa.......mnajua chimbuko la wakristo kuipinga mahakama ya kadhi? Sababu ni mbili....ya kwanza wanaona ile ruzuku inayotolewa na serikali kugharamia mahakama ya kanisa itapungua kama mahakama ya kadhi nayo itategemea fedha hizohizo.
Sababu ya pili wakristo wanadhani mahakama ya kadhi itawahukumu na wao....yaani mtu akiiba atakatwa mkono, akizini atapigwa maye mpaka kufa na kadhalika kama ambavyo wanahisi sheria za uislamu ni za kuuaua watu ovyo. Pole sana kwa mawazo haya.
Nawaomba wataalamu wa dini ya kikristo wanieleze hiyo mahakama ya kanisa inagharamiwa na kanisa kweli. Na je fedha hizo ni fungu lipi la kanisa? Au wana generalize tu?
Pia wanielezee balozi wa vatikani nchini tanzania anagharamiwa na nani anapokuwa tanzania? Wawe wakweli.......!
Usiogope kuwa mkweli kwa kudhani kwamba ule uonevu unaomfanyia mwenzio asipate haki yake ukisema ukweli utakuwa umempa ushindi.
Kuwa mkweli katika hoja zako.

mkuu usibwabwaje mbona rahisi tu kuliyamaliza.haya nakushauri washawishi waislam wenzako yafuatayo

1. Wasusie kutibiwa kwenye hospital za makanisa ili sasa ziwe ni kwa ajili ya wakristo tu, then zikose uhalali wa kupata nafuu toka serikalini

2. Balozi wa vatcan anaghalamiwa kwa taratibu za kimataifa juu ya uangalizi wa balozi
 
1.Serikali inatoa ruzuku kwenye hospital za kanisa Kama vile KCMC Moshi,BUNGANDO nk. Kutokana na hizi hospital kuudumia watz wote hasa wajawazito na watoto wadogo,wenye TB nk Bure.
2.Kanisa lina mabaraza yenye kushughulikia matatizo ya ndoa yanayotokea kwa waumini wake na sio mahakama Kama hi ya kadhi na aipati at a cent toka serikalini.

Kumbuka hiyo ruzuku haishi kwenye mahospitali tu, hadi kwenye taasisi za elimu. Sasa niambieni, peramiho kuna waislam?
 
mkuu usibwabwaje mbona rahisi tu kuliyamaliza.haya nakushauri washawishi waislam wenzako yafuatayo

1. Wasusie kutibiwa kwenye hospital za makanisa ili sasa ziwe ni kwa ajili ya wakristo tu, then zikose uhalali wa kupata nafuu toka serikalini

2. Balozi wa vatcan anaghalamiwa kwa taratibu za kimataifa juu ya uangalizi wa balozi

Hivi balozi wa vatcan nchini anamwakilisha nani?
Vip kuhusu OIC?
 
Usijifanye hujanielewa hoja zangu. Serikali inahusika vipi na kitu ambacho si cha kiserikali? Si mmesema masuala ya dini serikali isihusike? Sasa hapa inahusikaje? Usisingizie kuwa inahudumia watanzania wote! Huo ni uongo....wengine hawatibiwi hapo. Ondoa sababu kisa eti inahudumia watanzania wote. Mauala ya dini waachiwe dini yenyewe...ndo kanuni. No exception!!!!
Tumesema mahakam ya kanisa mbona wewe umegeuza unasema mabaraza ya kanisa? Kwa nini unakwepa kutumia neno "mahakama ya kanisa?' Unaogopa nini? Acha kukwepa hoja.....!

Ndugu yangu naona we mgumu wa kuelewa. Mahakama ya kanisa si suala la kijamii ni kidini sawa na mahakama ya Kadhi. Hospitali ni ya jamii, haina dini ila inaendesha na dini. Sawa na wewe ukiumwa hujawahi uliza hospitali ya kwenda zaidi ya kukumbuka kupona. ndo maana inabaki kuwa ya jamii ukiwepo na wewe. Hebu jenga hata hospitali yako serikali itasaidia kama vigezo vimefikiwa.

Kwa akili kama hii, ndo maana chuo cha kiislamu Moro si cha jamii kwa vile kinahudumia dini tu.
 
Ukiangalia vyema hilo tangazo limetolewa na jeshi la polisi likiwa na backup ya rb ya polisi.

so to say that mahakama hizo za kanisa zinatambuliwa kisheria kwann mahakma za kadhi zisitambuliwe na sheria za jamhuri ya muungano Wa tanzania?

Zinatambulikaje? Imeandikwa wapi? Nye shida yenu iandikwe na si vitendo. Kwa ujumla katiba haina hicho mnachosema na hakiji kutokea.
 
Wewe na wachangiaji wote waliotetea mahakama ya kanisa inagharamiwa na kanisa ni waongo. Hakuna ushahidi usio na shaka waliouleta.
Mimi nitoe ushahidi kidogo tu. Hilo tangazo limetolewa na polisi. Je kanisa lina polisi wake? Jibu ni hapana...Wametumia jeshi la polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....! In maana kuna gharama pale....Ni nani amelipa gharama za polisi kushughulika kesi hiyo ya ndoa? Polisi aliyeandika RB kwenye mshahara wake wata u-"apportion" part ya huo mshahara kiasi ulipwe na serikali na kiasi ulipwe na kanisa? Maana alishughulikia masuala ya dini ambayo tumesema yasigharamiwe na serikali......! Si ndiyo jamani?
Nije kwenye mahakama ya kadhi. Huwa haitumii jeshi la polisi!!!! Unaletewa barua ya kawaida tu kuitwa kwenye wito wa mahakama ya kadhi. Wenzetu wanatumia serikali!!!! Ni nani anayegharamia administrative expenses za mahakama ya kanisa....?
Kwa hiyo kwa kuwa makahama ya kanisa inatambuliwa na serikali kunavurugu zozote zimeshatokea ama ni kwa mahakama ya kadhi tu?????
Katiba inaitambua mahakama ya kanisa ndo maana polisi wanatumika. maana yake kama mtu atakaidi wito kwenye RB hapo juu maana yake polisi watamkamata kwa nguvu na kumpeleka mahakamani (huko kanisani). Na atawekwa mahabusi gani?
Mbona mahakama ya kanisa inatambulika na serikali je katiba imeshachanwachanwa? Maana umesema watakuja answar sunna, sunni nk. kwa hiyo ni vurugu....! Mbona hatujaona KKKT, Wasabato, Anglican nao wametaka mahakama ya kanisa? Kumeshatokea vurugu? Tafakari sana acha chuki za kidini wewe.....

Itakuwa unaangalia kwa makengeza wito haukutolewa na Polisi angalia vizuri kabla ya kukurupuka hapo kunamatangazo matatu tofauti l.polisi 2.kanisa 3.mahakama ya kazi
 
Vilaza kama ninyi hampaswi kabisa kuwapo duniani. Ndo maana wakristo wote watakwenda motoni (kwa mujibu wa biblia). Kwani mahakama ya kadhi inahudumia wakristo tu? Hivi hao mapadri wanaowatia mimba dada zetu wa kiislamu wakati wa mirathi unafikiri hawatatoa haki kisa baba yake ni mkatoliki na pia kwa kuwa amezuia kufanya mapenzi (hadi kuzaa) mahakama ya kadhi itamkataa? Acheni umbumbumbu ninyi. Kama mahospitali mnadai yanahudumia watu wote hata mahakama ya kadhi inashughulika na watu wote. Mnajifanya hamuupendi uislamu wakat wahasibu wote wanapofayna CPA ama sheria lazima wausome uislamu. Chuki binafsi tu. Kama uislamu si kitu cha maana basi wanaosomea upadri wasingefundishwa Quran. Mtadai eti huwa wanafundishwa ili waweze kuujua....uongo....! Hakuna andiko lolote kwenye biblia linalomtaka mkristo aujue uislamu bali Quran ndo unataka mwislamu aujue ukristo.....!!! Mpo wagalatia? Au aliyewaroga alikwisha fariki?
 
Ndugu yangu naona we mgumu wa kuelewa. Mahakama ya kanisa si suala la kijamii ni kidini sawa na mahakama ya Kadhi. Hospitali ni ya jamii, haina dini ila inaendesha na dini. Sawa na wewe ukiumwa hujawahi uliza hospitali ya kwenda zaidi ya kukumbuka kupona. ndo maana inabaki kuwa ya jamii ukiwepo na wewe. Hebu jenga hata hospitali yako serikali itasaidia kama vigezo vimefikiwa.

Kwa akili kama hii, ndo maana chuo cha kiislamu Moro si cha jamii kwa vile kinahudumia dini tu.
Hata mahakama ya kadhi ni ya kijamii wewe. Mkristo akizaa na mwislamu yule mtoto atakuwa na haki ya kurithi mali ya mwislamu. Na ndo mahakama kazi yake kutoa hukumu na kugawa "ratio" huyo mtoto wa kikristo apate haki yake. Kwa sasa utasikia mtoto wa aina hiyo anaitwa haramu....kitu ambacho si sahihi kwa mujibu wa uislamu. Kadhi yupo kwa ajili ya watanzania wote acheni umbumbumbu!!!!! Hata ndoa kati ya mwislamu kumwoa mkristo Kadhi ndo anahaki ya kuihalalisha we vipi? Unachuki isiyo na maana kabisa. Hicho chuo cha Moro kinahudumia dini tu? We bange kweli wewe. Ina maana hao mama ntilie wanauza vyakula wanatoka msikitini tu? Na huo mshahara wa wahadhiri unalipwa na waislamu tu? Bange hizo.....! Mmeona mahakama ya kadhi tu? Tumejaribu kuwaonesha ukweli kidogo tu mmehama mada.....!Unaleta masuala ya kuumwa! Kwani ni lazima utibiwe kwenye hospitali za kikristo? Ni lazima? Siyo lazima. Una uhakika gani sheikh huwa anatibiwa hospitali hizo? Kwa hiyo hospitali zenu ndo zinaonekana muhimu na lazima serikali ichangie. Ubaguzi utawaua ninyi wala nguruwe.....!
 
Itakuwa unaangalia kwa makengeza wito haukutolewa na Polisi angalia vizuri kabla ya kukurupuka hapo kunamatangazo matatu tofauti l.polisi 2.kanisa 3.mahakama ya kazi

We mbigiri si ungemwambia aliyeleta hili Tangazo afafanue kuna matangazo matatu? Au ndo umetegesha upate hoja za kushindia? Achana na hoja ya Poilisi....jibu zingine mbona zimekushinda?
 
Back
Top Bottom